Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Juzi nilikua kwa G. Nimemchek wambeke nikasema akifika tukushtue uje maana nilikua na yule dada angu rafiki yake wambeke. Kabla hajajibu message mambo yakavurugika nikarudi miguu ilala kulala. Yani kila mtu mbaya jamani. Wakurya sijui wamejulia wapi wanawake wazuri
Hahhahha wambeke chizi kila mtu kwake mbaya ila nimemmiss na mm jamani ebu mtafute siku tuonane nae kwa G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…