Majuto ni mjukuu.

Pole sana mkuu, mapenzi ya shule hayajawahi kuwa na mwisho mwema. Pale mnapendana kwa sababu hamna exposure mmoja wenu akipata kuwa exposed na mazingura tofautu ndipo hugundua kuwa kumbe weqe au yeye sio chaguo lake. Inambidi awe na gia mpya.

Nadahani umejifunza songa mbele.
 
haya matatizo umeyataka mwenyewe
1. alisha kuonesha hafai kwa kukudharau kipindi huna kitu ila bado hukutaka amini hutakiwi.

2.mimba imepatikana hadi kujifungua bila kufahamishwa maana yake hukuwa muhusika.

3. ulisha dharauliwa na kupuuzwa ila kwa udomo zege wako hukuamini unaweza pata mwingine zaidi ta kung'ang'ania huyo huyo.

4.hapo jutia uwezo wako mdg wa kung'amua mambo ndo majuto yako wala si kupotezewa muda, maana yeye tayari alisha kuondoa kwenye hesabu zake sema wenge lako kupereka posa.
 
Pole sana Mungu kakuepushia balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…