Majuto ni mjukuu.

Unatakiwa ufurahi sio kijuta. Ungebambikiwa mtoto ukaamini ni wako ingeleta shida zaidi baadae
 
Pole saana mkuu. Chakufanya piga mimba mademu wa5 mfululizo walahi mapenzi hayato kuja kuumiza tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahaaa dada Karucee hakuna mwanaume anaweza kudoubt damu yale. Kama ni wako you will know tu
.
.ila nawe kijana kwahiyo uliweka mayai yote kwenye kapu moja?

Wapange msururuu jamaangu😂😂😂😂
Yani mimi kama nikitaka kuoa(na wote nilionao wanataka kuolewa na mimi, na 50% yao nishatoa posa/natambulika kwao) . Ila bado nikifikiria kama ni ndoa kila moja kila mwezi ntafanya harusi January- December na hawataisha. Hio ndo plan A, B,C.....W yangu.

Sitaki siteless mie
 
Jamaa kamkataa mtoto kuwa c wake cos last time wamekutana kimwili hata kama bint angeshika ujauzito basi asingeweza kujifungua xaiv, cos ni too early 9 month hazijaisha,

Ndo maana kaxema angekua mtoto wa kweny chuo a.

Ndo maana alikua anang'ang'ania ndoa mapemaaa ili jamaa ashindwe kukwepa kulea mtoto ambaye si wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio ulikosea kumsubirisha ilitakiwa umpachike mzigo mapema tu alivyo maliza chuo hakukua na aja ya kumzungusha mtoto mzuri.
 
Mkuu nashukuru Mungu maana ingekuwa kitanda hakizai haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huendi mbinguni
 
Sasa mkuu kwani mimba ni upepo kwamba haionekani?huyu Dada muda wote kwanini asimshirikishe jamaa kama kweli ulikuwa ujauzito wa mchumba wake?kwanini mpaka amezaa baba wa mtoto hajafahamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wanaume ninao wadharau ni wale wanathubutu kumkataa mtoto aliyezaliwa na mpenzi wake. Umelipa mahari tiyari halafu unasema ati humtaki kwa sababu kazaa mtoto mzima wala sio njiti?? Watu wamezaliwa miezi 6,7,8 na bado wameishi vizuri iwe weye aliyezaliwa siku kabla ya hesabu zako akiwa mzima kisa tu ni ujuzi wako wa Biology kuwa mimba huwa 9 months!! Shame man.
Hivi wewe babako angepiga mahesabu ya siku na saa aliyotumbukiza kule wewe ungelikuwa mwanaye?? Kitanda hakizai haramu. Rudi kwa mkeo, mchukue mkeo na mwanao uende ukamlee tena kwa hishima kubwa. Huko wewe utampata bikra ni wapi wakati weye sio bikra??
Natamani uamke ujikute tu ulikuwa unaota. Wanawake wa leo, katika maisha haya magumu. Ingelikuwa kila akigongwa ni mimba, nadhani wengine zingekaa masikioni. Siwatukani wanawake ila, kutafuta bikra msomi ni sawa na kutafuta club ya pombe kwenye maduka ya walokole.
 
Mmmh!! Unamtetea tu demu mwenzio ila kiuhalisia jamaa alipigwa za uso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije jaribu kutafuta mchumba mitandaoni mkuu utalizwa tena kwa mara ya pili,endapo unajiona mzito sana washirikishe ndugu na jamaa waliopo maeneo ya asili wakutafutie kuna vibinti vzr tu miili bado haijaaribiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…