Majuto ni mjukuu.

Jibu zuri sana hili na swali fikirishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cdhani ..

From profile picture to proper future
 
Wanawake bhana hebu muache mkuu usimchanganye ntoe ndo kawaida yenu hiyo.... Mtoa mada Amefanya vizuri kukataa kulea damu ya mtu, kila mmoja atabeba msalaba wake kuelekea Calvary....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake bhana hebu muache mkuu usimchanganye ntoe ndo kawaida yenu hiyo.... Mtoa mada Amefanya vizuri kukataa kulea damu ya mtu, kila mmoja atabeba msalaba wake kuelekea Calvary....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu niliamua kuacha tu na mahali niliwaachia na nilifuta namba zake sitaki mawasiliano kabisa. Wanawake ukimpata alietulia mshukuru sana Mungu maana sijui kwann ni rahisi kujivuruga. But now ngoja nifanye mchujo wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…