Majuto ni mjukuu.

Kwanini usijiridhishe kwa kupima DNA? ili upate uhakika kua huyo mtoto ni wako au sio wako?

Unaposema inafaa kua na wapenzi 2 ili uje uchague mmoja anayefaa ina maana hata wanawake nao pia inafaa wawe na wapenzi wawili pia ili nao wachague mmoja anayefaa zaidi? coz hata wao wapo waliopata matatizo ya kusubiri mwanaume kisha mwanaume anaenda kuoa msichana mwingine,
 
Vijana mliosoma kwa kiasi fulani mna uhakika wa kipato cha mshahara kama ajira itapatikana; kuoana wawili wenye ajira nao ni ubahili; kama kijana wa kiume una ajira oa msichana asiye na ajira ili kuweka uwiano wa kipato kwa kila familia; nawe msichana uliyesoma na ukapata ajira, olewa na mwanaume mwenye elimu ya chini kuweka uwiano wa kipato kwa kila familia.

Ndoa nyingi zenye msomi mmoja na mwigine elimu ya kawaida ndizo zinazodumu hizo nyingine baba amechelewa kwenye Tax Force, Mama kachelewa kwenye maandalizi ya "Board meeting" hazina maisha
 
Haukuwa na akili ilikuwaje unaenda kutoa mahari mtu ambaye mpo mbali halafu inaonekana ulikuwa hauli mzigo wewe. Watu wakakusaidia kula mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
POLE SANA MKUU, ILA INAONEKANA UMEPANIAAAAAA SANAAA NDOA, TULIA MZEE BABA, TAFAKARI KWANZA MAPUNGUFU YAKO NA KISHA ELEKEA KTK MALENGO YAKO. MKE MWEMA HATAFUTWI AKILI ZIKIWA ZIKO RESI (STRESSED), HAO SIO MAFUNGU YA NYANYA KUWA ZOTE NI "NYEKUNDU" KWA MAANA UNAWEZA PIGWA "KATA FUNUA" UKAHISI KUFA KUFA SIKU ZOTE ZILIZOBAKI (MAANA YAKE USIKURUPUKE). USIMLAUMU SANA NDIVYO MATENDO YANAVYO JUSTIFY YALIYO MOYONI. KILA ANAYEINGIA KTK MAHUSIANO AME RISK KITU CHA THAMANI KTK MAISHA YA MWANADAMU (MUDA), NAJUA INAUMIZA ILA HIYO NDIYO REWARD YA KU ENGAGE KWENYE MAHUSIANO, KUNA PROFIT AND LOSS. CHA MUHIMU MUOMBE MWENYEZI MUNGU AKUPE NGUVU LAKINI PIA TUMIA VEMA RASILIMALI ZAKO (AKILI, HEKIMA NA CRITERIA ZINGINE) KUMPATA YULE UTAKAYEMUONA NI SAHIHI KWA MAISHA YAKO. ILA USIJE TEGEMEA UTAPATA ALIE PERFECT KWA KILA KITU JARIBU KUMPATA YULE UTAKAYEWEZA VUMILIA MAPUNGUFU YAKE.
 
Unajua Mkuu nilikaa mda kidogo sijaonana nae hivyo nilikuwa na uhakika sio mali yangu 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah thanks Mkuu. Umeongea kiutu uzima sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Huko mwisho ndo balaa ila uzi wote ulikua unalenga kipengele hiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa andiko lako liko vizuri na wamekuelewa sana

Wa sukumaland
 


Labda uko sahihi, ila uwezekano mdogo mno....
Mtu abebe mimba ya mchumba wake hadi kujifungua bila kumwambia ana ujauzito????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…