Mkuu hayo nimeshamweleza haelewi . Shida ni kuwa hii issue wife hajui, akijua hii ndoa itakuwa at high risk! Nahitaji kuwa stable familyWewe nae huelewi au?!kwa makonda wanaenda watu waliotelekezwa sio kulalamika hela haitoshi...matunzo ya mtoto unatoa kutokana na uwezo wa kipato chako
Ndio maana Makonda amesema watakuwepo wanasheria paleLaki 2 kwa mwezi.haitoshi?? Au umekuja kutoa kiki kwani akienda utakufa? Kama huna uwezo wa kumpa mil.10 kwa mwezi ufanyaje uibe?? Hata akienda Kuna mahakama zitaangalia kipato chako vs uhalisia...
Nchi hii ina sheria zake haya matamko yatarudi kisheria
Mkuu huwezi amini biashara zenyewe ni shida.. nikituma leo elfu 40, after two days simu zinaanza kupigwa mfululizo.. maisha magumuLaki 2 kwa mwezi.haitoshi?? Au umekuja kutoa kiki kwani akienda utakufa? Kama huna uwezo wa kumpa mil.10 kwa mwezi ufanyaje uibe?? Hata akienda Kuna mahakama zitaangalia kipato chako vs uhalisia...
Nchi hii ina sheria zake haya matamko yatarudi kisheria
Unajua nilizaa nikiwa nimeshaoa, na wife ananiamini sana, so kumwambia kunahitaji utulivu yaani nilitaka nimnunulie zawadi kubwa ndio nimwambie ila kwa sasa hali ni ngumuBora aende we kwa nini umfiche mkeo kuwa una mtoto wa miaka mitano mpaka sasa???? Ungekuwa mkweli kwa mkeo huyo mtoto ungemlea mwenyewe.
Ni kweli mzarami huyu valuvalu.. shida issue kujulikana kwa jamii katika kipindi ambacho mm sikuwa tayari mzee babaMwanangu,acha kuogopa...mwambie nenda kwa Bashite na usipoenda nitakuja kukupiga kwa kunitishia
Lkn tatzo jingine ninaloliona hapo ni kuwa 'huyo mwanamke ni m2 wa viwanja na starehe sana so,hata ukimpa fedha nyingi haziwezi kumtosha
Fanya maamuzi kama mwanaume!
Sasa unapompa fedha za matumizi uwe unamuingizia kwenye account,baada ya hapo unaitoa-copy deposit slip...original unampa yeye na nakala unabaki nayo kwa sababu anaweza kukupeleka kwenye vyombo vya dola (police, ustawi wa jamii,kwa Bashite) na akifka huko anakana kuwa hujawahi kumpatia fedha za matumizi,lkn kama utakuwa na nakala ya deposit slip itakulindaNi kweli mzarami huyu valuvalu.. shida issue kujulikana kwa jamii katika kipindi ambacho mm sikuwa tayari mzee baba
Ukimaliza nipe ushauri wako, nauhitaji sana.Samahani kwanza naomba nicheke mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]