yanalani dunia>>>YanaRUN duniaAisee,mapenz yanalani dunia
Milele amina mpendwaTumsifu Yesu Kristo!!
usaliti na kutoswa kisa sina chapaa ' Mapene' 'mavumba' 'mkwanja' 'ngawira' 'chambichambi' 'noti' 'shilingi' 'pesa' 'hela' 'fedha'alaumiwe baba yetu adam kwa kukubali kula tunda na kumkiuka muumba wake.
hivi ni tukio gani hutokuja kulisahau katika maisha yako kuhusiana na mapenzi?
mimi binafsi nilishawahi kuigiza nimezmia mbele ya kadamnasi na nilifanikiwa maana baada ya tukio hilo nikakubaliwa na lupewa tunda [emoji39]
nawasilisha mada.
Milele AminaTumsifu Yesu Kristo!!
ha ha haaaa,nimekosea ee?yanalani dunia>>>YanaRUN dunia
Nakuja kuzimia Iringa ili ulowe kwa ajili yangu![emoji53][emoji53][emoji53]Aisee,mapenz yanalani dunia
Yap spellingha ha haaaa,nimekosea ee?