Analeta mzaha kwenye mada ya watoto!!?
Mwambie basi akome unapogusa watoto umegusa kitu kikubwa sana, watoto sio wa kufanyia mzaha, atafute kitu kingine na sio watoto,
Sipendi mtu anayesema/kupiga watoto tunaona mengi kwenye hizi jamii unaweza kuona nimekuza ila trust me siku zote adui yako akitaka kukuumiza anatumia watoto wako, kwa hiyo kubaka/kulawiti/kuroga (kama mtu ana imani hiyo)/ kuteka, n.k hutumia watoto wako kwani anajua ujanja wako wote kwisha,
Mfano mzuri hata hawa matajiri, watoto wana ulinzi mkali kuliko wao sababu wanajua wakiguswa watoto wao hawana ujanja tena,
Tuwapende na kuwalinda watoto haijalishi, suala la malezi kila mtu na mtazamo wake ukitaka mtu alee mwanae unavyotaka wewe ni kuingilia uhuru wa mzazi kikubwa sheria isivunjwe.