Majumuisho mkutano wa nmc arusha 05/05 vua gamba vaa gwanda ulioongozwa na kamanda mbowe

Mwakasege amesema hawazi kuacha huduma yake alipewa na Mungu na kuingia kwenye siasa japokuwa ccm wanamtafuta sana agombee Arusha.

Vua gamba vaa gwanda!
Hata mwakasege hawezi kuwa kwenye gamba linalo tenda kinyume na maamrisho ya mungu. Vinginevyo kama ni mwl wa uongo na mchumia tumbo. Hata yeye atavua gamba atavaa gwanda.
 
Nassari anahitaji kwenda taratibu; ajifunze kitu cha kwanza hekima!

mkuu binafsi namkubali sana Nassary lakini kwa uvuvuzela alounza wa kuropoka ipo siku ataishia kubaya kwani ajui ukiwa kiongozi unatakiwa ulinde sana kauli zako sasa kama yy kaanza mapema kuiga wakina lema ambao kwao gereza ni kama sebuleni kwake, Nasary jichunge sana kwani miaka 27 bado sana kuanza kutoa matamko makubwa kiasi hicho.
Mimi nakupeda ndio maana nakwambia hivyo ila wale wanachadema wasio na macho wanosifia kila kila kitu cha chadema hatakwambia hivi.
 
Kweli Mwakasege akitaka kuvunja heshma ya kanisa aje kugombea ubunge Arusha kupitia CCM

u talk nonsense! Jua kwamba endapo mwakasege atagombea hapo Arusha chadema hamtaweza kulichukua hilo jimbo kwani hujui influence aliyonayo mwakasege ww.
Chezea mwakasege weyeeeeee
 
Viongozi wakimila walianza kwa kumsimika Rasmi Ole Milya kuwa mkombozi maeneo ya Umasaini na baada ya Kiapo alikabidhiwa Kirungu na kutakiwa asiwe Kinyonga kwani akikiuka makubwa yatampata. Baada ya hapo zoezi la kukabidhi kadi lilianza ambapo mabalozi wa ccm, wenyeviti wa vitongoji, madiwani na wanachama wengine wa CCM zaidi ya elfu walitupa kadi zao kwenye Dustbeen maalum na kukabidhiwa kadi za Chadema. OLEMILYA alihutubia mkutana na kuwataka wa tz wawapuuze wana CCM wanao muita yeye Gamba huku akisema wanachosubiri ndani ya CCM nikupewa nafasi za uongozi kama shukrani. Aidha aliapa kuzunguka maeneo yote umasaini na kuhakikisha anavuna wamasai wote na mwisho aliapa kuwafanyia kitu kibaya wana CCM wanao mchafua Kamanda mbowe amewatuliza wananchi waliokuwa wanashaka na Olemilya na amesema kuwa CDM ni Chama makini kwahiyo kitamuadilisha Ole milya na wote wanaovua magamba na kuhamia CDM. Mbowe amesema kuwa hata baadhi ya wabunge wa CDM walihamia toka CUF, TLP, CCM lakin waliweza kuwafunza, alitoa mfano wa Wenje kuwa alitoka CCM. Kuhusu Usukaj wa Baraza la Mawazir Kamanda Mbowe amesema kuwa J.k amevunja katiba na kulidharau bunge baada ya kuteua wabunge na muda mchache kuwapa uwaziri na kuwataka waanze kazi bila kula kiapo Cha ubunge. MBOWE ameahidi kuwa atapanga upya baraza lake ili wakiingia bungeni wapinge uvunjaji huo wa katiba aliofanya J.K. Katika hatua nyingine kamanda wa anga alitoa taarifa kuwa wapo wabunge wa CCM 70 Walio mfuata kufanya booking ya nafasi za uongozi na hata katika baraza jipya linalo apishwa juma tatu Takribani mawaziri 9 wamemfuata wakitaka kufanya booking. Mwisho kamanda mbowe alifanya harambee na akakusanya zaid ya mil 1 ambayo itatumika kuendeleza Mv4change Umasaini. Kwa upande wa Nassari aliwataka wamachinga kuendelea na biashara zao bila kuogopa vitisho vya halmashauri kuwataka jumatatu waondoke mitaani. Nassari alisema Atatoa Amri ya kumzuia J.K Kukatiza Arusha kwani yeye Ni Raisi wa Arusha Na Lema ni Waziri Mkuu.

Ritz1 kakumbusha kuwa kuna maeneo mengine kwani mtu hawezi kuwa rais kwa pande chache tu, bali ni tanzania nzima. hivyo naunga mkono hoja ya Ritz1 kuwa harakati hizo ziendelee hadi tabora, singida, dodoma, morogoro, tanga, mtwara, lindi, ruvuma na pwani. hawa ndo kikwazo kilichobakia kwa hapa bara.

kwa upande wa visiwani, sio lazima sana, wao kura zao zitagawanyika kwa CUF na CCM, hivyo CDM itapata kura chache, ingawa kama kutakuwa na juhudi za kuziongeza itakuwa njema zaidi
 
utachukia sana gwanda make 2015 ukitoka jule gwanda, ukila, ukilala, msikitini gwanda aaa atimae utakunywa chupa kaburini kwako utakutana na michwa wamevaa makwanda basi labda huko ukienda kwa shetani utmkuta anagamba ndo utapata furaha kidogo huko jehanam,.

Umenena mkuu. Hawa magamba na mafisadi wapende wasipende lazima cku moja watavua magamba na kuvaa magwanda. Kwani itafika mahali kila wanapopita ni gwanda tupu akiwa ndani ni gwanda, akiwa nje ni gwanda, kwenye gari ni gwanda yaani popote anapokuwa ni gwanda kwani kila mmoja anapigania haki na usawa kitu ambacho ni hadithi ndani ya chama cha magamba.
 
Usiwe na akili fupi. Kwakifupi wana Arusha hawajali umaarufu wa mwakasege hata akigombea lazima tutambwaga. Kama anataka ashuhudie umaarufu wake kufa ghafla aje aone atakavyo bwagwa
u talk nonsense! Jua kwamba endapo mwakasege atagombea hapo Arusha chadema hamtaweza kulichukua hilo jimbo kwani hujui influence aliyonayo mwakasege ww.
Chezea mwakasege weyeeeeee
 
Arusha niya CHADEMA Asikudanganye mtu kuwa eti kwa umaarufu alionao Tz na Dunian anaweza kugombea kupitia CCM akashinda Arusha .kama kwel Mwakasege anataka kushuhudia umaarufu wake ukifa akiwa hai adanganywe na wahuni wachache wa sisem aje kugombea ubunge Arusha mjini
 
Hiki chama sasa kimeshaonesha ishara zote za kukamata dola 2015.

Tha is a wise idea. Ukombozi wa taifa ndo kitu pekee cha kutuondoa kwenye lindi la umasikini uliotopea mkuu. Pamoja sana. Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipppppppoooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Jamani chadema njooni kagera hususan misenyi jimbo liko wazi,mbna mnaishia mwz&arusha.DR.SLAA UMESAHAU KM BUKOBA ULIPATA KURA ZAIDI YA JK?MORE THAN 50%
 
Unashangaza sana wewe unaesema Mwakasege atajihusisha na siasa, yeye katumwa kuhubiri injili na sio propaganda. anamheshimu Mungu wake.
 
Sijasema mimi kuwa mwakasege ataingia kwenye siasa. Nime wasilisha kama ilivyo semwa jana kwenye mkutano wa CHADEMA arusha
 
Viongozi wakimila walianza kwa kumsimika Rasmi Ole Milya kuwa mkombozi maeneo ya Umasaini na baada ya Kiapo alikabidhiwa Kirungu na kutakiwa asiwe Kinyonga kwani akikiuka makubwa yatampata. Baada ya hapo zoezi la kukabidhi kadi lilianza ambapo mabalozi wa ccm, wenyeviti wa vitongoji, madiwani na wanachama wengine wa CCM zaidi ya elfu walitupa kadi zao kwenye Dustbeen maalum na kukabidhiwa kadi za Chadema. OLEMILYA alihutubia mkutana na kuwataka wa tz wawapuuze wana CCM wanao muita yeye Gamba huku akisema wanachosubiri ndani ya CCM nikupewa nafasi za uongozi kama shukrani. Aidha aliapa kuzunguka maeneo yote umasaini na kuhakikisha anavuna wamasai wote na mwisho aliapa kuwafanyia kitu kibaya wana CCM wanao mchafua Kamanda mbowe amewatuliza wananchi waliokuwa wanashaka na Olemilya na amesema kuwa CDM ni Chama makini kwahiyo kitamuadilisha Ole milya na wote wanaovua magamba na kuhamia CDM. Mbowe amesema kuwa hata baadhi ya wabunge wa CDM walihamia toka CUF, TLP, CCM lakin waliweza kuwafunza, alitoa mfano wa Wenje kuwa alitoka CCM. Kuhusu Usukaj wa Baraza la Mawazir Kamanda Mbowe amesema kuwa J.k amevunja katiba na kulidharau bunge baada ya kuteua wabunge na muda mchache kuwapa uwaziri na kuwataka waanze kazi bila kula kiapo Cha ubunge. MBOWE ameahidi kuwa atapanga upya baraza lake ili wakiingia bungeni wapinge uvunjaji huo wa katiba aliofanya J.K. Katika hatua nyingine kamanda wa anga alitoa taarifa kuwa wapo wabunge wa CCM 70 Walio mfuata kufanya booking ya nafasi za uongozi na hata katika baraza jipya linalo apishwa juma tatu Takribani mawaziri 9 wamemfuata wakitaka kufanya booking. Mwisho kamanda mbowe alifanya harambee na akakusanya zaid ya mil 1 ambayo itatumika kuendeleza Mv4change Umasaini. Kwa upande wa Nassari aliwataka wamachinga kuendelea na biashara zao bila kuogopa vitisho vya halmashauri kuwataka jumatatu waondoke mitaani. Nassari alisema Atatoa Amri ya kumzuia J.K Kukatiza Arusha kwani yeye Ni Raisi wa Arusha Na Lema ni Waziri Mkuu.

Hapo kwenye red kama ni kweli amesema hivo basi Nasari amekosea sana. Kuwaambia wamachinga wasiondoke kwenye maeneo yasiyo kuwa rasmi za biashara katika jiji la Arusha ni kuwaambia wamachinga wavunje sheria za jiji. Nasari anatakiwa kujua kwamba kero za uchafu katika jiji ikiwa ni pamoja na uvamizi wa wafanya biashara ndogo ndogo katika kila kona ya Arusha si jambol a kisiasa au la kutafuta umaarufu kwa kudanganya umma. Ni wakati muafaka sasa halamshauri ya Arusha ichukue ufagio wa chuma kulinusuru jiji kuwa Soko. Sheria lazima ifuatwe. Kuhusu kutoa amri Rais azuiwe kuja Arusha, hii ni joke of the week!
 
u talk nonsense! Jua kwamba endapo mwakasege atagombea hapo Arusha chadema hamtaweza kulichukua hilo jimbo kwani hujui influence aliyonayo mwakasege ww.
Chezea mwakasege weyeeeeee
Na ajaribu kama hajaangukia pua.
 
Mh Godbless Lema aliwa omba wana Arusha na Wa Tz wote kuombea rufaa yake kwani anaamini atatinga mjengoni. LAKINI PIA WAKAZ WA arusha walitakiwa kuwa makini kwani kama rufaa ya Lema itatupiliwa mbali CCM Wanao mpango wa kumsimamisha Christopher Mwakasege kugombea ubunge Arusha mjini

Mwl naamini anaju vizuri maandiko ("atakaye kubali kunifuata kisha akaangalia nyuma afai hata kwenye ufalme wa mungu" haya maneno aliyasema yesu akiwaambia wanafunzi wake) lakini lolote linawezekana maana binadamu ni binadamu,
 
roho ikitaka kutoka lazima utapetape, na bado mtachonga sana ila watz hawawezi kuaelewa tena.......

mlaaniwe ccm wote na vizazi vyenu vya kifisadi.....
 
Mkoa wa Tanga ni ngome kongwe ya CCM, ninafikiri ili kuleta changamoto kwa mkoa huu ni vyema team ya M4C ikaweka mkakati maalum wa kuweza kuja kuweka msingi wa kuelekea 2015. Jipangeni wengi wana nia ya kufanya mabadiliko hawajui tu jinsi ya kuanza. Elekeeni huko.
 
Back
Top Bottom