SIM JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 1,795 Reaction score 1,309 Aug 3, 2012 #21 ruttashobolwa said: Duu la siasa bhana! Ni kiwa hapo napandwa hasira kuona mtu anatetea utumbo, saa nyingine nafikiria kuchoma kitambulisho cha kupigia kura, ikifika kwenye kesi za uchaguzi roho inaenda mbio! Yan stress tupu hakuna kufurahi Click to expand... ban zote zinatoka jukwaa hilo
ruttashobolwa said: Duu la siasa bhana! Ni kiwa hapo napandwa hasira kuona mtu anatetea utumbo, saa nyingine nafikiria kuchoma kitambulisho cha kupigia kura, ikifika kwenye kesi za uchaguzi roho inaenda mbio! Yan stress tupu hakuna kufurahi Click to expand... ban zote zinatoka jukwaa hilo
cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,812 Aug 3, 2012 #22 aisee, jukwaa la wakubwa huwa linanitia ashiki khaaaaaaaa!
Ngongoseke JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 3,202 Reaction score 1,464 Aug 3, 2012 Thread starter #23 SIM said: ban zote zinatoka jukwaa hilo Click to expand... Kweli kabisa ban zote zipo kule maana watu wanashindwa kujidhibiti kule
SIM said: ban zote zinatoka jukwaa hilo Click to expand... Kweli kabisa ban zote zipo kule maana watu wanashindwa kujidhibiti kule
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,960 Aug 3, 2012 #24 Preta said: jf doctor.....uwiii....nikiingia kule naona kama nipo wodini....watu wanaumwa bana....we acha tu.... Click to expand... ebu ngoja nikapacheki uko,yani maisha yangu yote jf sijawai ata kuchungulia uko..naogopa sana kusikia magonjwa.
Preta said: jf doctor.....uwiii....nikiingia kule naona kama nipo wodini....watu wanaumwa bana....we acha tu.... Click to expand... ebu ngoja nikapacheki uko,yani maisha yangu yote jf sijawai ata kuchungulia uko..naogopa sana kusikia magonjwa.