bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,841
Ukijifanya mwema sana kwa kila ndugu na jamaa utaishia kuwa masikini. Baadae ni hao hao watakaokucheka na kukusema umeshindwa kujenga nyumba au kununua gari kisa ulikuwa unatumia fedha ovyo.Usiendekeze upumbavu kila binadamu mwenye viungo kamili na akili timamu anatakiwa atafute chake.shida zipo lakini angalia zenye ulazima.you can't please everybody my friend
Watt walikufa kwasababu gan mkuu?Wewe ndio una suluhisho sahihi. Hapa unaweza shauriwa vibaya ukapata laana kwa kushindwa kusimama katika yale unayopaswa kutenda.
Kuna jamaa alifanikiwa akajenga nyumba kubwa sana mama yake akamuhusia kuishi na nduguze mama alipokufa jamaa akauza ile nyumba na kusambaza ndugu zake ili wajitegemee. Wengi waliangaika sana baada ya kusambazwa ila jamaa naye ali suffer kinoma maana hata ile nyumba aliiuza tena mwishowe wanaye wote walikufa pia sasa kabakia na kijana mmoja naye choka mbaya sana.
Hivyo suala la ndugu ni la kuangalia sana.
Zima simu kuanzia tarehe 20 afu iwashe kwenye tarehe 5. Ni wakati Kila mtu ajifunze kudeal na shida zake mwenyewe tukutane kwenye shida kubwa kubwa sio mtu kakosa Hela ya k-vant anaanza kusumbua.Habar Zenu
Mwenzunu nimejikuta kwenye wimbi la mawazo Baada ya kuelemewa na majukum. Baada ya Kupata kibarua nimejikuta napokea simu nyingi kuhusu Matatizo ya kifamilia
Nimejitahid sana kutatua Matatizo Kwa kadri ya uwezo wangu lakini mambo yanazidi kuwa magumu.
Ukiachana na kuhudumia familia Yangu lakini shida za Ndugu zimekuwa haziishi
Zinapokaribia tarehe za mwisho wa mwezi najikuta sina raha Kabisa maana napigiwa simu nyingi za shida na kuombwa pesa tu
Naombeni mbinu ya kukabiliana na changamoto hizi
Kwaiyo watoto wake wamekufa kwa sababu hakuwasaidia ndugu zake?Wewe ndio una suluhisho sahihi. Hapa unaweza shauriwa vibaya ukapata laana kwa kushindwa kusimama katika yale unayopaswa kutenda.
Kuna jamaa alifanikiwa akajenga nyumba kubwa sana mama yake akamuhusia kuishi na nduguze mama alipokufa jamaa akauza ile nyumba na kusambaza ndugu zake ili wajitegemee. Wengi waliangaika sana baada ya kusambazwa ila jamaa naye ali suffer kinoma maana hata ile nyumba aliiuza tena mwishowe wanaye wote walikufa pia sasa kabakia na kijana mmoja naye choka mbaya sana.
Hivyo suala la ndugu ni la kuangalia sana.
Badilisha namba ya simu kwa miaka miwili kwanza.Habar Zenu
Mwenzunu nimejikuta kwenye wimbi la mawazo Baada ya kuelemewa na majukum. Baada ya Kupata kibarua nimejikuta napokea simu nyingi kuhusu Matatizo ya kifamilia
Nimejitahid sana kutatua Matatizo Kwa kadri ya uwezo wangu lakini mambo yanazidi kuwa magumu.
Ukiachana na kuhudumia familia Yangu lakini shida za Ndugu zimekuwa haziishi
Zinapokaribia tarehe za mwisho wa mwezi najikuta sina raha Kabisa maana napigiwa simu nyingi za shida na kuombwa pesa tu
Naombeni mbinu ya kukabiliana na changamoto hizi
Shetani anaingiaje hapa acheni kumsingiziaShetani keshakuchorea ramani, usipoomba sana maisha yako yatakuwa hivyo mpaka utakapoondoka duniani
Naombeni mbinu ya kukabiliana na changamoto hizi
Hii kitu changamoto sana na wengi wanakutana nayoAsante Mkuu
Huko ni kukimbia tatizo nyumbani wanajua 🏃Acha kutumia cm...utakuja kunishukulu