Haha kwani uandhani wale askari wake ni wacheza Ready?Si JWTZ walikuwa wakifanya ukufunzi kwa wakongomani?,,mbona hakuna mabadiliko hadi walaimu kutakiwa kwenda?halafu kagame analeta kidomo domo....mkuu moshedayan idara yako hii njoo tupe mambo.
Dah wacha nifanye mishe nikapige hata jkt.
2013 CCM wamebadilisha malengo ya Jeshi letu la wananchi, badla ya kulinda usalama wa nchi na mipaka yake, sasa imekuwa hivi.
View attachment 99412
Pinda et al. (2013)
halafu kagame analeta kidomo domo....mkuu moshedayan idara yako hii njoo tupe mambo.

Hii picha si ya TPDF wame u crop toka picha flani ilikuwa humu humu kwenye mitandao. Ni ya majeshi ya ECOWAS -Africa ya magharibi wakati yanapamvana na waasi wa Siera Leane//Liberia! Tusidanganyane kiasi hiko!
2013 CCM wamebadilisha malengo ya Jeshi letu la wananchi, badla ya kulinda usalama wa nchi na mipaka yake, sasa imekuwa hivi.
View attachment 99412
Pinda et al. (2013)