Majukumu mazito

Yaani hiyo oversize imedhihirisha yale
afanyayo mjengoni.
 
Hako ka bibi kana sura MBAYA sana, lazima katakua kachawi tu...
 
Hako ka bibi kana sura MBAYA sana, lazima katakua kachawi tu...
Mmmh! Itabidi tuanze kuuza hekima dukani sasa. Maana huwezi kuimagine kama mtu anayejiheshimu anaweza kuandika haya. Inawezekana nyie ndiyo mnayeua vikongwe huko Mara na Shinyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…