prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
wanga washakuloga:suspicious:
mi naona mbadilishe mandhari ya penzi lenu......muwe/uwe mbunifu wa kitu kipya mara kwa mara........kila siku hapo hapo......ratiba ile ile.....inakuboa bila wewe kujijua........nadhani........
duh hii ngumu kumesa...................................mmoja aombe likizo atokomee kusikojulikana, mpeane space kama ulivyshauriwa hapo juu
havitachange kama kisaikolojia humhusudu mwenzi wako,mnapopeana space unammiss kwa vitu vingi,au mnaweza kuingia gharama kwa mara moja si mbaya mkaenda sehemu zenye mandhari mazuri na tulivu mkakumbushia enzi zenu...........hapana ntakuwa sijamtendea haki i hope thngs would change
havitachange kama kisaikolojia humhusudu mwenzi wako,mnapopeana space unammiss kwa vitu vingi,au mnaweza kuingia gharama kwa mara moja si mbaya mkaenda sehemu zenye mandhari mazuri na tulivu mkakumbushia enzi zenu...........
poa poa ila tusichakachue uzi mkuu.
mwanzoni tokea nimekuwa na mke wangu nlikuwa namtamani kila mda ila tokea last week hata akinigusa sihisi chochote je hili lasababishwa na nn?wakuu mana anajiskia vibaya as if mie nimepata mwingine tulkuwa tuki do kila siku but sku hiz umh!