Majonzi CHADEMA

Majonzi CHADEMA

Yaani huyo mume anataka kuleta ufisadi kwenye pesa za mkewe?? ashindwe kabisa
 
Mme hajakamatwa juzi ilisemekana aliludi kuchukua vitu vya ndani watu waka itaalifu polis, walipo fika hawakumkuta tetesi ni kuwa amejifungia ndani maana hakuonekana alipo pitia ulinzi umeimalishwa nje ya nyumba. ni mkoa wa KAGERA BIHARAMLO RUNAZI
 
Pole sana mama, mungu akusaidie upone uendelee kutumia wananchi wako.
 
pole yake!....mungu atamlinda sala zetu zipo juma yake!....
 
Hivi ni kwa nini baadhi ya wanaume wana roho za kishetani? Unawezaje kumkata mapanga bedmate wako? Baadhi ya wanaume kweli noma!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
lazima mmmewe atakuwa ni big gamba tu na hata wekwa ndani maana movement iliyopo kuididimiza cdm
 
Polisi wafanye uchunguzi wa kina huenda Bukoba boy "Mtuhumiwa wa ugaidi" anahusika kwenye huu mpango!
 
Back
Top Bottom