Diwani viti maalum CHADEMA na aliye kuwa kampeni meneja wa mbunge MBASA, jumatano ya wiki iliyopita alikatwa mapanga na mmewe kwa ugomvi wa kifamilia hali yake ni mbaya sana kwani alikuwa hajitambui mpaka J'pili alipoanza kuongea japo kwa tabu sana.
inasemekana tamaa za fedha za mke, ndiyo tatizo walikuwa wamepanga sasa wamejenga kwa pesahizo za udiwani mme alitaka yeye ndiye awe kilakitu kwa pesa ya mke amekuwa akimwambia anajidai kwazo