Majirani zangu wameanza kununa

Umejenga uswazi .....
Masaki usingenuniwa....
hata wakusalimiana nao usingewaona....
ungejenga kimya kimya
 
Mtembezee poumbou huyo mke wa jirani ndio dawa ya kwanza
 
Ni watu wachache sanaa wenye akili ya kujiongeza kama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa misifa hii ya kuja kumuanika jirani yako humu si bure ndo mana kakujua we ni limbukeni na si kwamba ana chuki nawe Mr.Misifa.
...Mkuu, jichunguze Kidogo. Una Uhakika kuwa huna Majidai yoyote uliyoanza kumfanyia jirani yako ....kiasi kwamba mzima yeye aamke tu asubuhi na kuanza kukuchunia?
Sio kwamba yeye ameona analazimika kujibu mapigo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah ni kawaida kujenga siku hizi lkn nashangaa ndugu yetu anatangaza ana mjengo wa vyumba vitatu kwa kisingizio cha majirani wanamuwekea ing'oo.. ila mtani tangu ligi isimamishwe atugumiani kabisa nimekumisi ujue☺
😅😅😅 Nipo Mtani yaani hata kupishana mpaka nikubahatishe.

Hebu ligi ianze aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…