Majirani zangu wameanza kununa

Sema hujakutana nao wenye roho za korosho, jirani anaziba njia ili usipitishe material yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Riziki mwanzo wa chuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijamuanika,.ndo Mana sijamtaja jina..ila najaribu kuonyesha jinsi binadam wasivyopenda maendeleo ya mtu..
kwa misifa hii ya kuja kumuanika jirani yako humu si bure ndo mana kakujua we ni limbukeni na si kwamba ana chuki nawe Mr.Misifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakwel inabid nikae nao kwa akili..hapo hata kupaua sijapaua..Sasa nikipaua si ndo itakuwa hawaniitikii salamu yangu
MKUU HUO NI MWANZO, INAONEKANA UMEKUTANA NA WASWAHILI HASWAA AMBAO HATA UKIPIKA CHAKULA WATAPITA BAADAE JALALANI KUJUA ULIPIKA NINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbuka,..mimi siishi maeneo Hayo..na pia huwa Sina makuu..Mana najua ukijikweza mungu atakushusha..na Hawa majirani huwa nawasalimia Hadi Kuna mda naona ntakuwa kero kwao...Sasa hili la kuiweka mifuko yangu ya cement nje,,.limenishtua na kuona kuwa kumbe tangia mwanzo naanza kupandisha nyumba walikuwa hawapendi... Wanahisi nimewachalenji
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlitaka kumpa hela ,..ili tuweke maji kwny kisima..akakataa..na pia yeye Ni fundi welding..nikajua nikimaliza Basi yeye ntampa tenda ya madirisha na milango...kwahiyo sikuona tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…