Hilo nalo gazeti? Ni afadhali ununue Uhuru au Habari Leo kuliko Majira. Hamna kitu kabisa na ninasikia waandishi wake njaa kali, hawana hata mishahara. Asilimia 90 ya waandishi wake ni makanjanja.
Wanatamani sana kwa fikra zao kuibomoa CHADEMA kwa namna wanavyoona inafaa. Wakae wakielewa kuwa watu wa miaka mitano iliyopita sio watu wa miaka mitano ijayo...mbinu zao chafu za kizindaki hawawezi kushinda nguvu ya Umma ambayo ni sauti ya mungu....Viva Chadema!!
hilo gazeti hivi sasa halina tofauti n'a uhuru n'a jamboleo limeingizwae kwenye payroll ya Nape lakini mwisho wa siku nao wataumbuka kama alivyoumbuka vascodagama kwenye kesi ya Lema leo
kweli chadema kumechafuka kwa shangwe baada ya haki kushinda dhuluma matokeo yake godbless lema karudushiwa ubunge ccm chali mimi huwaga cna muda wa kusomaga magazeti kama haya.
Hilo nalo gazeti? Ni afadhali ununue Uhuru au Habari Leo kuliko Majira. Hamna kitu kabisa na ninasikia waandishi wake njaa kali, hawana hata mishahara. Asilimia 90 ya waandishi wake ni makanjanja.
Lilikwisha oza ilo ,lilikuwa zamani enzi hizo yupo mzee Sammy Makila,Ndimara na Bossi Mwenyewe Mzee Nyaulawa akiwa hai japo alikuwa mwanaMagamba alikuwa busineman mzuri,sasa hivi sijui hata website hawana wanahangaika na blog ,toilet paper inathamani kuliko ili gazeti la Majira.