Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,560
Heshima kwenu Wana JF
Baada ya zoezi linaloitwa la kutumbua majipu kuanza tunasubiri kuona haya majipu ambayo yameshaiva yakitumbuliwa -
1-Kutangazwa kwa raisi aliyeshinda kwa uhalali Zanzibar
2-Katiba mpya kurejeshwa kwenye rasimu ya Warioba yenye maoni ya wananchi
3-Kurudishwa cash za Escrow tukanunue madawati na wahusika wote kukamatwa na kuchukuliwa hatua
4-Kutekelezwa maazimio ya Bunge ambayo bado hayajatekelezwa kama kutaifisha mitambo ya IPTL na mengine
5-Kureview na kuanika mikataba yote kwa maslahi ya umma.
6-Kushusha PAYE to single digit
7-Kutekeleza mapendekezo ya CAG kutoka report iliyopita ili yale aliyoyagundua yasionekane report inayofuata
8-Waliokwepa kodi wote kuanzia kwenye makontena wafunguliwe mashitaka kama wezi wa kuku au majambazi
9-Viongozi walioruhusu wananchi kujenga maeneo ambayo siyo halali wakichukuliwa hatua kali
Haya ni majipu ambayo yakitumbuliwa yatamgusa mtanzania wa kawaida zaidi ya hapo ni itaonekana ni usanii unaendelea kwenye kutumbua majipu