Majini Mombasa

Kuna jini kweli la mwenyezi Mungu,changa la macho,Shetani aliyetupwa kwa dhambi ya kijiinua,na ndiye mpaji wa shida zote za mwanadamu wa jana na leo,leo hii awe ni msaada kwa walio na shida,wapi na wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…