Majini & Mapepo ๐Ÿ‘ป๐Ÿค”

huwa nasema siku zote, unaweza sifia sana ukuu wa Mungu kwa kuangalia sayari,milima, bahari , mito, majangwa nk... lakini ukichunguza maisha ya viumbe hai , kwanzia bacteria,miti mpaka wanyama tunateseka hapa duniani,....UUMBAJI unaanza kutia mashaka ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
 
Sikubani mbavu nataka fact tupu undugu hukoo hapa ni fact zitembee wewe umesema unaamini majini na mapepo yapo nimekuuliza

Je kuna faida gani kuamini kitu huna uhakika nacho?
Kama ninavyoamini nilizaliwa na Mama yangu basi na hayo mambo ya majini na mapepo naamini yapo bila hata faida, kuna Waalimu humu jamvini sitaki kuwa mention itakuwa sio vizuri wakiuona huu uzi watachangia.
 
kuna wanaozaliwa wafupi wengine warefu wengine weusi wengine weupe walemavu wengine wazima hakuna cha usawa wala nini
Sasa ulitaka watu wote tufanane kama Panya ๐Ÿ€ ? Ukichunguza sana kanuni za uumbaji utaishia kuchanganyikiwa, hebu jiulize Haji Manara angekuwa mweusi ungeonaje ? ๐Ÿคฃ
 
Kwahiyo na wewe unaamini vipi
 
Imani mdogo wangu, Kusikia, kusoma na kutafakari uumbaji wake ni lazima kuna Muumbaji. Ishi kwenye kumuamini Mungu hii ni Tanzania sio Dunia ya kwanza ๐Ÿ˜‰
Una uhakika uumbaji ni wa huyo Mungu unaemuabudu na kumuamini
 
Hakika mkuu maswali ni mengi sana
 
Kama ninavyoamini nilizaliwa na Mama yangu basi na hayo mambo ya majini na mapepo naamini yapo bila hata faida, kuna Waalimu humu jamvini sitaki kuwa mention itakuwa sio vizuri wakiuona huu uzi watachangia.
Huyo unaetaka kum mention usijaribu maana hatatia mguu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Binafsi siamini kama hayo mambo yapo, kwangu ni nadharia tu.

 
Ilikuaje kuaje mpaka ukaamini?
Long story madam! Nimekutana na mengi since nko mdogo niliugua sana nakumbuka nilikuwa std 3 nilipona tuu kwenye maombi kwakushika radio mchungaji akiwa anaomba kupitia hilo Jina la Yesu. Hata sasa within two weeks ago nilikuwa na hali mbaya kwa sasa amefanya na namwamini atafanya zaidi. Ukitaka kumjua Mungu pitia kwa Yesu Mungu ni waajabu sana na utamjua kulingana na unavyoilisha akili yako kumhusu.
 
Huko kwa Yesu pia nimepita mkuu
Haya kila la kheri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ