Majina ya whattsap kupungua bila kufuta

Majina ya whattsap kupungua bila kufuta

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
1,023
Reaction score
837
Habar za asubuhi wapedwa,naomba kwa wajuzi wa mambo haya ya mitandao wanielimishe hiv inatokea vip hujafuta majina katika whattsap contacts yako lakini cha ajabu kama ulikuwa na majina 250 wasap yako unakuta majina 245 hii inatokana na nn??au mtu akifuta namba au kubadili whattsap yake na ww huku majina yanapungua?mam trace kacheza na sim yangu lakini hakuna jina lilofutwa??naomba msaada wa hili ndugu zangu.
 
Mkuu tatizo kama hilo ndio kwanza nalisikia toka kwako.
Mkuu angalia vizuri, huenda ulimpa mtu sim yako au ulijisahau hio simu sehem flani,,Mtu akaichkua na kufuta namba za watu[emoji1321]‍♂️
 
Ukiangalia vizuri umeshajijibu swali lako.
Kiufupi ni swali la chekechea
 
Kama una tumia tecno usiwaze ayo ni mambo ya kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom