Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,517
- 6,497
Mpambano ulikuwa mkali sana.
Samahani kwa wale wote niliowakwaza.
Ilikuwa ni utani tu.
I love u ol.
Oh my God,am back........msifikiri nilipenda kuchakakachua matokeo jamani,baba watoto alinipiga mkwara na dola yake nisipofunga huo mjadala,nifunge vilivyo vyangu,nimerudi na nasema hapana ushindi ule haukuwa wa halali.........Naomba msamaha na kura zihesabiwe upya wapenzi wangu Husninyo na Shosti...
Husninyo asante kwa kuwajibu wajue nao wana majina yaooo!
hahah na wakishato kupiga mangure na busaa ahahahmmmhh jamani yeye atachukua masaa sita kumaliza mchezo mwenyewe..
halafu hapoo na kujichubua ajili anatumia nguvu sana..
mmmhhh ndo maana nikasema tumalize mchezo..
mmmhh mie nikimsaidi gusa,lamba, kula, nyonya mmhhh
hachukui hata nusu saa,
hahahhah lol
hehehe ok, kwa niaba ya waasirika wote wa ukimwi wa afrika mashariki na kati napenda kutangaza kwamba hili sredi limefungwa ofishiali. yoyote atakaetoa jina la kashfa kwa jinsia isiokuwa ya kwake atahukumiwa kwa kunyang'anywa pasiwedi ya JF.
NB: sredi linaweza kugeuzwa chatroom kama mbadala wa nyumba ndogo ya forum.
asanteni kwa ushirikiano
wowoo..Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?
Mfano:
1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI
Kama unayajua mengine unaweza ongezea
Halafu wewe Husninyo una kesi kumbe hayo majina ndio huwa unaniita ukifika nyumbani leo utanieleza vizuri
Je? Wewe ulishawahi kubembelezwa mwenzio mimi nilishawahi.............nadekezwa haya hebu njoo huku tuyamalize i wipe off your tears and bring bak the beautiful smile on your face just say one word "YES"nitumie Account no yako just now nikutumie talaka yako sasa hivi siwezi kuvumilia kwa hili!:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::A S confused::A S confused::A S confused::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Je? Wewe ulishawahi kubembelezwa mwenzio mimi nilishawahi.............nadekezwa haya hebu njoo huku tuyamalize i wipe off your tears and bring bak the beautiful smile on your face just say one word "YES"
wowoo..
kisura..
shetani...
mfuko..
k..
dimbwi...
mlupo... etc.
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?
Mfano:
1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI
Kama unayajua mengine unaweza ongezea
Nikikupata milele nitafurahi nitaimba nakupenda hadi mwisho wa uhaiNOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO,AINT GONNA CME!nimechoshwa navituko na vipigo majeraha kila siku ,hivi kwann??????????
hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?
Mfano:
1. Demu
2. Mlupo
3. Shori
4. Kishtobe
5. Manzi
6. Sista duu
7. Sketi
kama unayajua mengine unaweza ongezea
Shosti ulimchapa nao nani tenampambano ushafungwa,mlikuwa wapi wakati tunawachapa nao
mpambano ushafungwa,mlikuwa wapi wakati tunawachapa nao