Wanajamvi naombeni mnisaidie kuchagua majina, nataka kubadilisha majina yangu

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,311
30,924
Mzuka Wanajamvi!

Wanajamvi nakuja kwenu kuwaomba mnisaidie kuchagua kati ya haya majina niliyoyaoroshesha ni lipi? Nataka kubadilisha majina. Nataka tu moja kutoka kwenye hii orodha chini.

1. Obadiah Waters
2. Keith Richards
3. Harry styles
4. Jeremy Clarkson
5. Wolfgang Maguire
6. Fox McDonald's
7. Williamson Daniels
8. Littlejohn Cash.
9. Cohen schmidt
10. Mcgregory Adamson

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
 
Cristiano Messi itapendeza zaidi
 
5. Wolfgang Maguire
Hii kali sana mkuu....

Regge can cure back pain πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo ndo napo kukubali...
Una take mambo too easy tunafurahi pamoja mkuu πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aminia aseeπŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŠπŸΏπŸ€œπŸΏπŸ€›πŸΏ
 
Mzuka Wanajamvi!

Wanajamvi nakuja kwenu kuwaomba mnisaidie kuchagua kati ya haya majina niliyoyaoroshesha ni lipi? Nataka kubadilisha majina. Nataka tu moja kutoka kwenye hii orodha chini.

1. Obadiah Waters
2. Keith Richards
3. Harry styles
4. Jeremy Clarkson
5. Wolfgang Maguire
6. Fox McDonald's
7. Williamson Daniels
8. Littlejohn Cash.
9. Cohen schmidt
10. Mcgregory Adamson

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
Umbile lako likoje, mrefu, mfupi, mnene, mwembamba, mweupe au mweusi? Tusije tukakuita Fatuma wakati wewe ni mwembamba.
 
Mzuka Wanajamvi!

Wanajamvi nakuja kwenu kuwaomba mnisaidie kuchagua kati ya haya majina niliyoyaoroshesha ni lipi? Nataka kubadilisha majina. Nataka tu moja kutoka kwenye hii orodha chini.

1. Obadiah Waters
2. Keith Richards
3. Harry styles
4. Jeremy Clarkson
5. Wolfgang Maguire
6. Fox McDonald's
7. Williamson Daniels
8. Littlejohn Cash.
9. Cohen schmidt
10. Mcgregory Adamson

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
Hilo jina namba 6 liboreshe kidogo ili lisomeke FaizaFoxy!
 
9. Cohen Schmidt

Imekaa bomba sana. Schmidt ina touch ya Kijerumani. Very classic. Wakoloni wa taifa letu la Tanganyika.
Lakini Cohen ni jina la Kiyahudi la Ukoo. Cohen ni sawa na Kuhani kwa kiswahili. Huwa hiliwi jina la kwanza bali ni surname.

Schmidt pia ni jina la ukoo la asili ya Germany na Uholanzi. Lina maana sawa na Smith kwa Kiingereza. Nalo ni surname na wala siyo first name.

Hapa Maghayo umechemsha hiyo no 9.
Ila kwa nini usitumie jina la Kihehe kama Mfwalamagoa Ulanzi wa Ng'ombe?

Maghayo
 
Back
Top Bottom