Majina ya wanawake wawapo kwenye ndoa

Majina ya wanawake wawapo kwenye ndoa

“Waiteni kwa ubini wa baba zao, maana huo ndio uadilifu mbele ya Allaah” (Al-Ahzaab 33: 5).

"Wanasibishieni hawa watoto kwa baba zao khasa. Hayo ndiyo ya uadilifu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Ikiwa hamwajui baba zao walio nasibiana nao khasa, basi hao ni ndugu zenu katika Dini na rafiki zenu wa kuwanusuru. Wala nyinyi hamna dhambi ikiwa mmewanasibisha na watu wasio kuwa baba zao kwa kukosea. Lakini inakuwa dhambi kwa mlio kusudia kwa nyoyo zenu baada ya kwisha jua yaliyo. Na Mwenyezi Mungu anakusameheni kwa kukosea kwenu, na anaikubali toba yenu kwa makosa mliyo kusudia." (al-quran,33:5)

Katika Aya hii tukufu Allah anasisitiza umuhimu wa kuwaita watoto/watu majina yao kwa majina ya baba zao wazazi kwani huo ndio uadilifu...kama ni Rehema Alex (baba) basi always iwe hivyo na sio Rehema Joseph(mume).
 
Back
Top Bottom