Majina ya walioomba nafasi za BVR cleck

Majina ya walioomba nafasi za BVR cleck

Gtshayo

New Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Jaman nasikia tume ya uchaguzi wametoa majina ya BVR clerk so wameyaweka wap maaana wametangaza bt watu hawajui wanayapata wap so mwenye nayo plz tunayaomba
 
Matangazo ya ajira yalitoka lin na yakatangazwa kwenye chombo gani cha habari cha hapa nchini kwetu?
 
Hzo kaz zimeltwa kwnye halmashaur yet huk kigoma pia ni lazma uwe any goverment officer wth computer skills,i wsh to apply for it by 2mor
 
kwani unakimbizwa kaka..!!?
hebu fafanua vizuri wadau wakuelewe..!!
 
Tulifanya usaili pale keko Govt Stores lakini majibu bado.....nafikiri pesa ndio tatizo.
 
Ndugu zanguni hii kazi ni ngumu sana kama una matatizo ya kiafya kama kifua,mgongo,kiuno nk achana na hii kitu ni mziki mnene saaaaana huku kusini kuna Dada nusura mimba ichomoke nkafanya sub faster.
 
Ndugu zanguni hii kazi ni ngumu sana kama una matatizo ya kiafya kama kifua,mgongo,kiuno nk achana na hii kitu ni mziki mnene saaaaana huku kusini kuna Dada nusura mimba ichomoke nkafanya sub faster.

uongo tu. Haina ugumu wowote
 
Back
Top Bottom