Nauhusiwa kuwataja na Kamati Kuu ya chama fulani?π€£Asalaaam aleykum wakuu.
Allah ni mwena ni wekend na sikukuu pia kwa waislaam wote.
Mada hii sawa na kichwa hapo juu.
Nimeishi mitaa mbalimbali hapa nchini, nilichogudua ni kwamba karibia wahuni wote wa zama hizo na zama hizi hitumia majina bandia yanayofanana.
Mfano mdogo tu, anzia hapo mtaani kwenu, mtaa jirani ama muhuni yeyote unae mfahamu, katika wahuni 10 hakosekani mmoja mwenye jina miongoni mwa orodha hii:
1. Dula
2.Roja
3.J4
4.Msodoki
5.Pablo
6 Toshi
7.Tolu
8.Waiti
9.Zungu
10.Kiwi
11.Putini
13.Osama
15. Chidi
16. Bigi
17.Tupaki
Ongesea mengine ..........
Sio kweli.Asalaaam aleykum wakuu.

MbwigaAsalaaam aleykum wakuu.

Chidboy[emoji1787]Kuna akina CHIDY wahuni na matapeli
Komando Yosokuna vikundi vilitamba sana miaka fulani
βAskari wa motoni
βMajasusi
βatufagi un-deadable
βKula urembo
βMakaburi matuta
βsura ya mbuzi
βmama yako demu wetu
βsisi sio kundi
2007
kula urembo lilikuwa ni kundi hatari
Hii mbona kama unga limitedi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nitaje majina ya bandia ya kitaani kwenu kwanza kabisaa huu mtaa ninaoishi vijana wengi ( tunatumia majina bandia ) sijui kwanini
-chaka
- mmea
- monster
- sungura
- shundu
- bung'aloo
- dogi a.k.a niger j
- kb
- kidari
- kichenge
- chidi
- ibirisi ( shacks )
- kitulisa
- uncle kidevu
- kido
- mc ngenge
- mnefiri
- nyama za kware
- rasi
- utiti
-zombie
- dan babu
- dacho
- cdk
- nyandu
- montana
- rama chogo
- shacks
-mkinga
-kido
- bongo
- chopa
- bizzo
- itona
- kobi
- pisi kali ( huyu ni demu ila ni mgumu asikwambie mtu )
- masamurai
- mbogo ( aka mheshimiwa )
- mtundu
- brea
-captain
Eehhh aisee majina ni mengi na mbaya zaidi hata mgeni akija na kumuuliza mtu kwa jina lake la kiserikali basi uwezekano wa kumpata muhusika ni mdogo sana kama atakuwa hayajui hayo majina waliyojibatiza wahusika hapo juu..
- simbamnyama aka fogo
- kifrini
Chuji, Sele, side huwa hayakosekani Tanzania nzimachuji
Makaveli
Sele
Side
Tumbonii