Majina ya second selection

Majina ya second selection

fukunyuku

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
69
Reaction score
23
Hellow members
Majina ya second selection yanatangazwa lini??
Hivi ni TCU ndio wanachagua 1 kwa 1 au chuo wanapeleka tena TCU.
 
Majibu bado na leoo ndio siku waliosema watatangaza according ratiba yaoo mpaka sasa hakuna dalili yeyote
 
Ratiba inasema 22sept 2018 inamaana walijua watakua wamemalza
Kuanza kuapply kwa awamu ya pili ilianza tarehe 10 sept ratiba inaonesha ilitakiwa iwe 6 sept walisha badilisha ratiba tangia mwanzo
 
Kuanza kuapply kwa awamu ya pili ilianza tarehe 10 sept ratiba inaonesha ilitakiwa iwe 6 sept walisha badilisha ratiba tangia mwanzo
Revised admission almanac ndo inavosema sasa inabidi wa revise tarehe tena
 
Back
Top Bottom