Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

Waitu abakunirwa/abanyansi abomuka no'mmahanga muno mwagila mahyo g'eishumba omundimiro ya Ruhanga Katonda. Ninkwata obushango obu kubatona eibara ly'omwaka oguhya 2016. Ahonu munjubule mbatone okwezi nigo maranzi g'eizoba. Omwaka ogulaija Ni YANGHUWA. Enkobekezo anga to enyanjura eyo abandi beta bishoboloro tulabibatwekera. Ruhanga abebembele ako mlakwata kabe ne'migisha.
 
YANGHUWA kwa tafsiri ya kiswahili ni Fanya Hima kuendana na Kasi, naona inaendana na kasi ya Magufuli.
 
2016 - Katerero
2015 - Shuntama
Jaribu kuwa serious mkuu,nikyo batugahila wakati mwingine! Akili gani hizi badala ya kufikiria masuala ya maendeleo iwe notekeleza OBUSI.....NI,jaribu kujirudi.Mimi nafikiri we simzaliwa wa huko ndio maana unaleta maneno unayo yasikia mitaani.
 
nani anatoa majina ya miaka na wanatumia utaratibu gani.?je majina ayajawahi kujirudia mwaka huu ulitakiwa uwe na jina la 1997 "Chwazika"
 
Jaribu kuwa serious mkuu,nikyo batugahila wakati mwingine! Akili gani hizi badala ya kufikiria masuala ya maendeleo iwe notekeleza OBUSI.....NI,jaribu kujirudi.Mimi nafikiri we simzaliwa wa huko ndio maana unaleta maneno unayo yasikia mitaani.

Majina ya miaka kwa kihaya ndio masuala ya maendeleo?????
 
Ekyo muka nkiguma muno kukifumora...nkakimanya ombukuru, duh nimejitahidi ha! ha!
 
Majina ya Miaka


1959-BILEMOLENGILE

1960-IJA WEBONELE

1961-BILYE OYEKOMILE

1962-GUMISA OMWOYO

1963-OTULA OBUNGYA

1964-KARAMANSHANYIO

1965-NDARWEBOINE

1966-BABINDANGIIRE

1967-TEEKANA

1968-TABARO

1969-NYIKIRA

1970-TWEYAMBE

1971-SISIMUKA

1972-SHAYA

1973-GENDERERA

1974-WEKEBUKE

1975-KAKIWEYO

1976-IJA BALEBE

1977-HENJUZA

1978-SHULIZA

1979-TIKILIWA IGAMBA

1980-BURUR’OBONE

1981-GALAZIW’ENZIHI

1982-GOSHOKO

1983-SHOBOKERWA

1984-IKINGURA

1985-KANKWEHANUZEO

1986-SHUUBI

1987-WEMOGE

1988-KAKUTANTALIKWA

1989-KWATIRAHO

1990-HANULIRWA

1991-HUMURA

1992-NYIN’EIRIWO

1993-YOMBEKA

1994-HUMBYA

1995-GUMA

1996-YECHUZE

1997-CHWAZIIKA

1998-TEKEREZA

1999-FUKAMA

2000-SHANDUKA

2001-SHAMULA

2002-RUNDAANA

2003-WEBAZE

2004-SHABUKA

2005-SIIMA

2006-GIL’EMILEMBE

2007-TEGEKA

2008-RASHANA

2009-JWAHUKA

2010-CHULELA

2011-TONGANA

2012-WECHONCHE

2013-WEBANGE
2014-YEETOHYE
2015-IJUKA
2016-YANGUHA
2017-YEGASHANIZE
 
Huwa wajuaje mpaka waupe jina la hivyo? Kwa mfano 2017 kwa nini wameuita hivyo?
 
Huwa wajuaje mpaka waupe jina la hivyo? Kwa mfano 2017 kwa nini wameuita hivyo?
Huwa wanaangalia hali ya kijamii na kiuchumi,hali ya hewa nk.kama kuna ukame,ugonjwa,uhaba wa chakula,serikali isiyojali au inajali raia wake,,elimu ,uwepo wa senene ,mazao ya kutosha ,tetemeko kama hivi,vita au majanga mengine ya asili.
 
Back
Top Bottom