Majina ya kihehe

Status
Not open for further replies.
Aisee
 
"Mahavigakelwike" asee nimecheka sana
Mengine Mwambeva, Mbedule, Ng'owo, Chotta, Myovelwa, Kalinga, Mgimwa, Mdemu, Lumato, Mwihava, Sutta, Chang'a, Mwamoto, na kadhalika
 
Kuna unajua jamii ya iringa ilikuwa kubwa sana mkuu na walikuwa wanaingiliana makabila so usishangae kumkuta mkinga yupo pale dabaga na mhehe yupo makete huko.
Ni kweli, mimi ni Mhehe tena ninaetokea kwenye chimbuko halisi la Uhehe. Ila kwa sasa niko Dar, kuwa au kuhamia Dar hakunifanyi niwe Mzaramo. The same principle applies here, Mhehe alie Makete hageuki kuwa Mkinga wala Mkinga alie Dabaga, Usokami nk kuwa Mhehe. Maingiliano ya kijamii hayajaanza jana ni ya karne nyingi sana kabla yetu.
 
...Tisha sana mkuuu,
 

Chogga
 
"Mahavigakelwike" asee nimecheka sana
Mengine Mwambeva, Mbedule, Ng'owo, Chotta, Myovelwa, Kalinga, Mgimwa, Mdemu, Lumato, Mwihava, Sutta, Chang'a, Mwamoto, na kadhalika

Hiyo mwambeva mmmh unatuuzia chai aisee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…