Majina ya kihehe

Status
Not open for further replies.
Mwafiwa,kulanga, mwakapanga, sengeng'ena, kombole, kibiki, kitosi,kiyeyeu, kitaluta, mponzi, mdage, macholo, mkangafu, delega, nyadogi, kihagi
 
Mwafiwa,kulanga, mwakapanga, sengeng'ena, kombole, kibiki, kitosi,kiyeyeu, kitaluta, mponzi, mdage, macholo, mkangafu, delega, nyadogi, kihagi

Sasa kama hata mboga za majani ni majina na pombe
Macholo mkangafu delega nyadogi na kihagi hapana umedanganya tuwe wakweli
 
msugu pi'igwite, mwendinofu, gwimile, kilimuwaya, mlyapatali, mwendamseke, nganga, ngogo, mangogo, kijombelo ..,,,
 
Sasa kama hata mboga za majani ni majina na pombe
Macholo mkangafu delega nyadogi na kihagi hapana umedanganya tuwe wakweli
Mkangafu ni pombe ya ulanzi iliyokomaa,delega ni mboga ipo fulani hivi inateleza kama mrenda,nyadogi nayo mboga huyo jamaa muongo.hapo angesema lupembe,mchami, mkalawa ,mayemba,chambaga,luvanga,nyudike,kihaka,mwajombe,mpogole,lugenge,kilasi,sangamela,msemwa,mbilinyi.mtweve,sanga,etc
 
Katabi
 
Ya watu:Mwamudemu,Mwalugusi,Mwanyunza,ya wanawake unaongeza prefix se MF.semudemu,selugusi,senyunza nk
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…