Baba V c kweli kabisa angalia haya majina ya wachina wakiume na kike ninaowafahamu personally, wanaume ni xu kwang ,xu fu li, xu ming, xu fao wanawake ni yao mei, yu kwa, yi wu, yuan liang hawa wote wako dar wanabangaiza
Ndio kwa mfano shau mei hawezi kuwa mwanaume kwasababu jina hilo lina maana ya mrembo mdogo au da nio haliwezi kuwa la kike kwasababu lina maana ya ng'ombe mkubwa (bull)
Baba V c kweli kabisa angalia haya majina ya wachina wakiume na kike ninaowafahamu personally, wanaume ni xu kwang ,xu fu li, xu ming, xu fao wanawake ni yao mei, yu kwa, yi wu, yuan liang hawa wote wako dar wanabangaiza
kwa hiyo majina yenye X ndo ya wanaume na yenye Y ni ya wanawake kama ulivyo onyesha hapo juu? Je kama hayana X au Y inakuwaje hapo? Kuna yule mcheza tenis Li Na ni mwanamke, vp hili aliingii kwa upande wa kiume?