Majina ya ajabu sijapata ona!

Huyo jesus so cute!!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hahahah huyo Jesus lool hata wazazi waliotoa jina wangetakiw wafikirie kwanza
 
Hilo la mwisho kama silioni vizuri...hoe nisaidie kama wewe unaliona
 
Haya majina kizungumkuti kwelikweli
 
Hao wazazi hawakujua maana ya hayo majina?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…