Majina wanayopewa wanawakei ! Utashangaa !

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Kuna majina mengi huwa wanapewa wanawake ,wakati mwengine wenyewe kwa wenyewe huitana hivyo ,niyajuayo japo maana yake kwa kweli hadi leo sijaijua ,nimonimo tu,pangu pakavu tia mchuzhi .

Shangingi ,anaweza kukupiga hata kwa mbuzi ya kukunia ukimwita hivyo ,sijui maana yake nini !
Changudoa ,ukimwita hivyo atakutukana au atakuchukia kwa macho na mtazamo na pia hashindwi kukutupia neno ,bado maana yake sijaifumah.
Na mengine mengi nisiyyajua ,ila kwa haya tu nilikuwa napenda nifahamishwe maana yake kwa wenye elimu nayo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…