Majina umri 18-35 kukosekana uhakiki BVR

Majina umri 18-35 kukosekana uhakiki BVR

WAPOMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
689
Reaction score
175
Hii nimeipata jana ndani ya daladala kwa foleni wakati nilipoomba kununua picha ya Magufuri,aliyekuwa anauza alicheka sana na kusema kuwa za makomeo haziendi sana kama za mamvi!!.

Ndipo nikaanzisha mjadala kuwa magamba watashinda kwa goli la mkono maana nimesikia jinsi vikosi vyetu vya jeshi vinavyohakikisha askari ambao hawajajiandikisha na kuwaambia pigia anayetoka kule upatapo mshahara na nikatonya kuwa imesikika kuwa hata uhakiki majina ya umri huo ambao wengi ni kipenzi cha mamvi hayaonekani kwenye usaili.

Je, great thinker kuna ukweli ndani yake!!

Kiongozi mmoja ukawa alisikika akisema kuwa waliojiandikisha 5000 majina 2000 hayaonekani katika kituo kimoja!

Je, haya yote ni kweli?

UKAWA MUWE MACHO HILO NI GOLI LA KWANZA LA MKONO!!!!!

Jamani acheni kupotosha umma mkumbuke na sheria ya mtandao 1/9 maana unasema kitu hakina uhakika na unasambaza chuki
 
Mbona vijana mna dukuduku sana.Kumbuka kuweka kiparata chako vizuri.
Pindi unaenda kupiga kura na ukaelezwa jina lako halipo ndo nchi itasimama.

Itabidi tume ipeleke uthibitisho mahakamani kama kuna mtu ana mashine ya kwake ua BVR.

Safari hii kitaeleweka tu.Mshindi akabidhiwe nchi kwa amani.Watanzania hatujazoea vurugu.Tume ya uchaguzi tunsomba sana muwe wazi.Haki itaepusha taifa kuingia kwenye majanga.
 
Mimi nimeenda leo ofisi ya Kata nikamkuta dada mmoja anamajina yameandikwa kwa kalamu mezani kwa wingi tu. Akaniambia Tume ya Rais ya Uchaguzi haijaleta madaftari licha ya matangazo ambayo na yeye ameyasikia! Kutachmbika mwaka huu! Kuna makusudi ya kuvuruga uchaguzi mwaka huu sijajua jamaa anataka kuendelea kutawala au!!
 
Kinachokera ni kwamba NEC wanasema tuhakiki taarifa kwa SIMU (*152*00#) halafu unaambiwa taarifa zako hazipo.

Hili ndo linaleta ukakasi wa watu kudhani kwamba kuna tatizo NEC, kwa nini waseme uongo? Sijafika kwenye kata au manispaa kuangalia hilo daftari kama kweli lipo au pia ni uongo,.
Kama kuna watu wameshahakiki wakakuta majina yao waseme, mimi wote niliokutana nao wanamatatizo yaleyale.

Kama bado hawaja load data kwenye system kwanini wasiseme tu ili watu wasubiri kwanza kuliko kusumbua watu ili wachoke kufatilia kitu ambacho hakipo?
 
Tatizo raisi akiisha tangazwa huwez hoji matokeo yake mahakamani kwa mujibu wa katiba ya ccm... hivo watavuruga uchaguz kadri wawezavyo na jamaa akiisha tangazwa hata kama kazidi kwa kura 1 na kuna cases za watu zaidi ya 1m ambao majina yao hayapo kwenye daftari na wanatoka maeneo ambayo ukawa ina nguvu... huwezi hoji popote....
 
kila kitu kitaenda sawa.
watu walilaumu sana hapa bvr hazina speed ya kuandikisha kwamba watu wengi hawajiandikisha,leo mashine hizo ndo zimeandikisha watu wengi hadi kuvuka malengo.
kumbe lawama zote zilikua za bure....
 
ila kwa shida kubwa mkuu.... kuna watu wameachika sababu ya BVR... zoezi limetesa sana waTz kana kwamba hatukujua tutakuwa na hili zoezi for the past 5 yrs... na lengo limevukwa sababu ya uelewa wa waTz kwa sasa la sivo nani akaumie kiasi hicho ( kama ingekuwa zamani)...
 
Hii nimeipata jana ndani ya daladala kwa foleni wakati nilipoomba kununua picha ya Magufuri,aliyekuwa anauza alicheka sana na kusema kuwa za makomeo haziendi sana kama za mamvi!!.

Ndipo nikaanzisha mjadala kuwa magamba watashinda kwa goli la mkono maana nimesikia jinsi vikosi vyetu vya jeshi vinavyohakikisha askari ambao hawajajiandikisha na kuwaambia pigia anayetoka kule upatapo mshahara na nikatonya kuwa imesikika kuwa hata uhakiki majina ya umri huo ambao wengi ni kipenzi cha mamvi hayaonekani kwenye usaili.

Je, great thinker kuna ukweli ndani yake!!

Kiongozi mmoja ukawa alisikika akisema kuwa waliojiandikisha 5000 majina 2000 hayaonekani katika kituo kimoja!

Je, haya yote ni kweli?

UKAWA MUWE MACHO HILO NI GOLI LA KWANZA LA MKONO!!!!!

Binafsi taarifa hii nimeisikia kutoka kwa rafiki yangu ambaye ni kada wa ccm na ambaye alikuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya udiwani. Yawezekana ina ukweli fulani aisee! Dear God, we need change in Tanzania, help us!
 
Mbaya zaidi hata ukihakiki kwenye simu na jibu likaja hasi,huelezwi ufanye nini kupata jibu chanya,ki ukweli mateso niliyopata wakati wa kujiandisha alafu jina langu lisiwepo na card ninayo,na wanizuie kupiga kura,patachimbika tu.
 
Hii nimeipata jana ndani ya daladala kwa foleni wakati nilipoomba kununua picha ya Magufuri,aliyekuwa anauza alicheka sana na kusema kuwa za makomeo haziendi sana kama za mamvi!!.

Ndipo nikaanzisha mjadala kuwa magamba watashinda kwa goli la mkono maana nimesikia jinsi vikosi vyetu vya jeshi vinavyohakikisha askari ambao hawajajiandikisha na kuwaambia pigia anayetoka kule upatapo mshahara na nikatonya kuwa imesikika kuwa hata uhakiki majina ya umri huo ambao wengi ni kipenzi cha mamvi hayaonekani kwenye usaili.

Je, great thinker kuna ukweli ndani yake!!

Kiongozi mmoja ukawa alisikika akisema kuwa waliojiandikisha 5000 majina 2000 hayaonekani katika kituo kimoja!

Je, haya yote ni kweli?

UKAWA MUWE MACHO HILO NI GOLI LA KWANZA LA MKONO!!!!!

Ni kweli wala hajaweka chumvi. kuna kituo kiliandikisha watu 3800 na majina 1200 hayaonekani kwenye daftari la wapiga kura. Maana yake hao wote hawatapiga kura. unafahamu na viongozi wote wa vyama vya upinzani waliingia kwenye uchaguzi wakiwa wameshashindwa. Kukubali uchaguzi bila kwanza kuundwa tume huru ni kuipa ccm ushindi wa mezani kuanzia raisi,wabunge na hata madiwani.Kumwachia m/kiti nec,wakurugenzi wa majiji/halimashauri na makatibu wa matawi/mashina madaraka ya kuhifadhi mashine za bvr haina tofauti na kuwaruhusu wafanye wawezacho kwenyemashine hizo.Wanaweza kuongeza majina watakayo na kwa kuwa wao ndio wanaoelewa kata/vijiji vyenye wapinzani wengi wataangalia tu umri wa kuanzia miaka 18 hadi 35 wanawafuta na taarifa zao zote kwa manufaa ya chama chao ccm. Huwezi kunidanganya viongozi wote wa upinzani washindwe kuliona hilo na ndio maana malalamiko mengi ya kukosa majina kwenye daftari ni ya umri huo huo. SEMA MWENYEWE AU TUSEMEJE?
 
kila kitu kitaenda sawa.
watu walilaumu sana hapa bvr hazina speed ya kuandikisha kwamba watu wengi hawajiandikisha,leo mashine hizo ndo zimeandikisha watu wengi hadi kuvuka malengo.
kumbe lawama zote zilikua za bure....

Kwani hata huko mikoani walikosema wamemaliza kuandikisha watu si walioachwa kwa ajili ya muda wa tume kukaa kata moja uliisha? Sio kweli kwamba wote waliandikishwa.
 
Mm nadhani, ikiwa mtu anacho kitambulisho halali cha kupigia kura ana haki ya kupiga kura hata kama jina halimo kwny daftari la wapiga kura. Kama wanaleta mambo ya kihuni kudhulumu watu haki hii yao basi wameamua kuivuruga hii nchi. Ushahidi wangu kwamba nina haki ya kupiga kura ni kitambulisho changu. Ikiwa majina hayapo kwny daftari hlo sio kosa langu, ni kosa la tume na uzembe pengine wa maksudi. Ole wao watakapoamua kuleta ujanjaujanja, hapatakalika hapa. Thubutu yao.
 
Eti 'huruhusiwi kupiga kura coz jina lako halimo kwny daftari' hapo ndo watakapojua kwamba tumechoka kutapeliwa. Hii nchi ni yetu sote, thubutu yao.
 
Sasa hawa mi naona wameishiwa nguvu hivyo vitambuliusho tumevipataje!? Ikiwa machapisho ya majina hayana walengwa wa hivyo vitambulisho walivyotuandikisha!? Kituo kimoja cha uandikishaji cha mjini morogoro kata ya Tungi kilikuwa na watu takribanu 1500 hivi waliohudhuria uandikiushwaji, lakini nilichokishuhudia ni ni majina 227 tu ndio yapo katika daftari lao la uhakihiki, sasa hawa waliobaki tarifa zao ziko waspi!? Mechunguza kwa makini umri wa waliopo katika daftari hilo ni kuanzia 40 's yrs. Hii kero kwa kweli. Wanaandaa vurugu siku ya kupiga kura nchi hii imelogwa na walevi wa madaraka.
 
Kinachokera ni kwamba NEC wanasema tuhakiki taarifa kwa SIMU (*152*00#) halafu unaambiwa taarifa zako hazipo.

Hili ndo linaleta ukakasi wa watu kudhani kwamba kuna tatizo NEC, kwa nini waseme uongo? Sijafika kwenye kata au manispaa kuangalia hilo daftari kama kweli lipo au pia ni uongo,.
Kama kuna watu wameshahakiki wakakuta majina yao waseme, mimi wote niliokutana nao wanamatatizo yaleyale.

Kama bado hawaja load data kwenye system kwanini wasiseme tu ili watu wasubiri kwanza kuliko kusumbua watu ili wachoke kufatilia kitu ambacho hakipo?

Nimehakiki kwa simu kila kitu kiko sawa.
 
Kama mtu ana shahada na aliandikishwa lazima apige kura. Jambo la jina kutoonekana kwenye orodha siyo la kwangu na kama wakininyima kupiga kura patachimbika na kweli wajipange hatutakubali.
 
Wapiga kura zaidi ya 1,100 waliandikishwa, kwenye daftari ya uhakiki yamekuja MAJINA 5 TU! Hii imetokea Kata ya Mpui, jimbo la Kwela (S'wanga V). Mbaya zaidi, kuna sintofahamu kubwa juu ya uwezekano wa kupiga kura. Msimamizi wa uchaguzi W anachukua namba za kadi, hatima ya kupiga kura haijulikani.
Kitabu kikubwa chenye lamination na mbwewe, ila ndani kuna ukurasa mmoja tu wenye majina 5 sehemu ndogo tu ya ukurasa huo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom