Kunguru Mjanja JF-Expert Member Aug 22, 2012 2,036 3,929 Dec 15, 2017 #1 Mpangilio wa Kada na Ukumbi za usaili utakaofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam tarehe 16 desemba 2017. Awamu ya kwanza: Saa moja kamili asubuhi Mtendaji kata II Msaidizi wa maktaba Laboratory techniician II water Afisa utalii II Awamu ya pili: Saa tatu kamili asubuhi Afisa tarafa II Afisa ushirika Awamu ya tatu: Saa tano kamili asubuhi Afisa mifugo msaidizi Operata kompyuta msaidizi Afisa biashara msaidizi Mvuvi msaidizi II Afisa biashara II Awamu ya nne: Saa saba kamili mchana Afisa kilimo msaidizi Afisa usafirishaji Msaidizi mifugo Awamu ya tano: Saa tisa kamili alasiri Wakili wa serikali Mtakwimu II Afisa ardhi II Fundi sanifu II ujenzi Kwa Majina ya wasailiwa na kumbi walizopangiwa kufanyia usaili tarehe 16/12/2017, Bofya HAPA Attachments Majina ya wasailiwa na kumbi walizopangiwa kufanyia usaili tarehe 16.12.2017.pdf 2.2 MB · Views: 563
Mpangilio wa Kada na Ukumbi za usaili utakaofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam tarehe 16 desemba 2017. Awamu ya kwanza: Saa moja kamili asubuhi Mtendaji kata II Msaidizi wa maktaba Laboratory techniician II water Afisa utalii II Awamu ya pili: Saa tatu kamili asubuhi Afisa tarafa II Afisa ushirika Awamu ya tatu: Saa tano kamili asubuhi Afisa mifugo msaidizi Operata kompyuta msaidizi Afisa biashara msaidizi Mvuvi msaidizi II Afisa biashara II Awamu ya nne: Saa saba kamili mchana Afisa kilimo msaidizi Afisa usafirishaji Msaidizi mifugo Awamu ya tano: Saa tisa kamili alasiri Wakili wa serikali Mtakwimu II Afisa ardhi II Fundi sanifu II ujenzi Kwa Majina ya wasailiwa na kumbi walizopangiwa kufanyia usaili tarehe 16/12/2017, Bofya HAPA
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,387 Dec 15, 2017 #2 Kazi kwao wasahiliwa kujiandaa sasa