Majina, Mpangilio wa Kada na Kumbi za usaili utakaofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar. 16/12/2017

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,927
Mpangilio wa Kada na Ukumbi za usaili utakaofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam tarehe 16 desemba 2017.


Awamu ya kwanza: Saa moja kamili asubuhi
Mtendaji kata II
Msaidizi wa maktaba
Laboratory techniician II water
Afisa utalii II

Awamu ya pili: Saa tatu kamili asubuhi
Afisa tarafa II
Afisa ushirika

Awamu ya tatu: Saa tano kamili asubuhi
Afisa mifugo msaidizi
Operata kompyuta msaidizi
Afisa biashara msaidizi
Mvuvi msaidizi II
Afisa biashara II

Awamu ya nne: Saa saba kamili mchana
Afisa kilimo msaidizi
Afisa usafirishaji
Msaidizi mifugo

Awamu ya tano: Saa tisa kamili alasiri
Wakili wa serikali
Mtakwimu II
Afisa ardhi II
Fundi sanifu II ujenzi


1.PNG


2.PNG


3.PNG


4.PNG


5.PNG


Kwa Majina ya wasailiwa na kumbi walizopangiwa kufanyia usaili tarehe 16/12/2017, Bofya HAPA
 

Attachments

  • Majina ya wasailiwa na kumbi walizopangiwa kufanyia usaili tarehe 16.12.2017.pdf
    2.2 MB · Views: 563

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom