Majina mengine yanachekesha sana. Skia hii!

Dejavu

JF-Expert Member
May 31, 2018
1,568
3,424
Kuna time tulikuwa Zambia kikazi pale Lusaka sehemu moja hivi inaitwa Nyumba Yanga na kuna Mzee alikuwa ana jina linachekesha sana kwa tafsiri ya kiswahili ila kikwao huyu mzambia ilikuwa fresh. Huyu Mzee jina lake lilikuwa ni Pumbu Bwalya.

Sasa kwa sisi waswahili pumbu maana yake ni ukakasi mtupu. Sasa kila asubuhi sisi waswahili watano tukawa tumeanzisha mtindo lazma tupite ofisini mwake tumsalimie "Good morning Pumbu!" anaitikia morning guys... Kinachofuata tunaondoka hatuna mbavu..tunacheka hadi machozi kisa tumesalimia pumbu.

Sasa jamaa akashangaa mbona hawa Watanzania wakinisalimia tu wanacheeka hivi? Wenzake wakambwambia Watanzania ni watu wazuri sana wanapenda kufurahi na kila mtu. Hawakujua! Ni Pumbu ndio lilikuwa linatuchekesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitaa ya huko Congo
pumbu-jpg.1025779
 
Attachments

  • pumbu.jpg
    pumbu.jpg
    33.1 KB · Views: 130
Kuna time tulikuwa Zambia kikazi pale Lusaka sehemu moja hivi inaitwa Nyumba Yanga na kuna Mzee alikuwa ana jina linachekesha sana kwa tafsiri ya kiswahili ila kikwao huyu mzambia ilikuwa fresh. Huyu Mzee jina lake lilikuwa ni Pumbu Bwalya.

Sasa kwa sisi waswahili pumbu maana yake ni ukakasi mtupu. Sasa kila asubuhi sisi waswahili watano tukawa tumeanzisha mtindo lazma tupite ofisini mwake tumsalimie "Good morning Pumbu!" anaitikia morning guys... Kinachofuata tunaondoka hatuna mbavu..tunacheka hadi machozi kisa tumesalimia pumbu.

Sasa jamaa akashangaa mbona hawa Watanzania wakinisalimia tu wanacheeka hivi? Wenzake wakambwambia Watanzania ni watu wazuri sana wanapenda kufurahi na kila mtu. Hawakujua! Ni Pumbu ndio lilikuwa linatuchekesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe ukiangalia pumbu zako unacheka?
 
Tulivyokua A-level tulikua na mwalimu wetu mganda yeye kila akisikia jina la Doto alikua anaangua kicheko tu, baadae sana ndio akatuambia neno Doto kwao inamaanisha mapyumbu.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom