Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,779
Hivi karibuni nimekuwa nikiona vibao vyenye majina ya mitaa hapa Dar, majina yasiyoendana kabisa na mahali kwenyewe.Eti utakuta Mtaa wa Ludewa katikati ya Mwenge hapa Dar.
Hivi ni nani akikaa chini akànza kufunga haya majina. Why hawakukaa na wadau wa hiyo mitaa ili wapate majina muafaka kabisa.
Eti mtaa wa kipepeo, Mara mtaa wa Nyati utadhani kuna Mbuga. Kwanza wanyama wenyewe washawamaliza.
Mtaa wangu unaitwa Iringa hata sijui kwanini? Je mtaani kwenu kuna jina gani? Maana nimeona Makumbusho kuna majina ya nchi tu mtaa wa Ghana Mara Siera Leone basi tu ilimradi.