Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Sep 1, 2016 #1 Majina mapya huko Mbeya., Mwakupatwa Mwakajua Mwakamwezi Tulimwezi Atupatwile twa jua
BabaJonii JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 282 Reaction score 145 Sep 1, 2016 #2 Red Scorpion said: Majina mapya huko Mbeya., Mwakupatwa Mwakajua Mwakamwezi Tulimwezi Atupatwile twa jua Click to expand... Tunaishukuru sana Sirikali kwa kuruhusu hili tukio la kupatwa kwa jua kufanyika huku kwetu Kitaifa
Red Scorpion said: Majina mapya huko Mbeya., Mwakupatwa Mwakajua Mwakamwezi Tulimwezi Atupatwile twa jua Click to expand... Tunaishukuru sana Sirikali kwa kuruhusu hili tukio la kupatwa kwa jua kufanyika huku kwetu Kitaifa
A Alkarima JF-Expert Member Joined Mar 27, 2016 Posts 223 Reaction score 174 Sep 1, 2016 #3 BabaJonii said: Tunaishukuru sana Sirikali kwa kuruhusu hili tukio la kupatwa kwa jua kufanyika huku kwetu Kitaifa Click to expand... Hahaaaa umenifrahisha sana, sasa serikali kwani ingeweza kuhamisha?
BabaJonii said: Tunaishukuru sana Sirikali kwa kuruhusu hili tukio la kupatwa kwa jua kufanyika huku kwetu Kitaifa Click to expand... Hahaaaa umenifrahisha sana, sasa serikali kwani ingeweza kuhamisha?
BabaJonii JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 282 Reaction score 145 Sep 1, 2016 #4 Alkarima said: Hahaaaa umenifrahisha sana, sasa serikali kwani ingeweza kuhamisha? Click to expand... Sisi huku tulijua ni sherehe ya kitaifa
Alkarima said: Hahaaaa umenifrahisha sana, sasa serikali kwani ingeweza kuhamisha? Click to expand... Sisi huku tulijua ni sherehe ya kitaifa
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Sep 1, 2016 #5 BabaJonii said: Tunaishukuru sana Sirikali kwa kuruhusu hili tukio la kupatwa kwa jua kufanyika huku kwetu Kitaifa Click to expand... BabaJonii; Sema ifii; Tunaishukulu saana hii silikari ya mh, JPM kwa kutukumbuka na kutuleteya hii sikukuu ya kupatwa kwa jua na kufanyika huku kwetu Mbeya kitaifwa na kimataifwa. Aksanteni kwa kusoma vizuri.
BabaJonii said: Tunaishukuru sana Sirikali kwa kuruhusu hili tukio la kupatwa kwa jua kufanyika huku kwetu Kitaifa Click to expand... BabaJonii; Sema ifii; Tunaishukulu saana hii silikari ya mh, JPM kwa kutukumbuka na kutuleteya hii sikukuu ya kupatwa kwa jua na kufanyika huku kwetu Mbeya kitaifwa na kimataifwa. Aksanteni kwa kusoma vizuri.
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Sep 1, 2016 Thread starter #6 Alkarima said: Hahaaaa umenifrahisha sana, sasa serikali kwani ingeweza kuhamisha? Click to expand... Yaa ingeweza kulipeleka Dodoma
Alkarima said: Hahaaaa umenifrahisha sana, sasa serikali kwani ingeweza kuhamisha? Click to expand... Yaa ingeweza kulipeleka Dodoma