Majina halisi ya wachezaji wa Brazil

Majina halisi ya wachezaji wa Brazil

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Kama ilivyo kwa wachezaji wengi wa Brazil, mshambuliaji Neymar anatumia jina moja tu kwenye jezi yake. Jina lake halisi ni Neymar da Silva Santos Junior.

Wachezaji wengine wa Brazil waliopita na waliopo wana majina ya utani ambayo hayaendani na majina yao halisi.

Hulk

Jina hilo la utani alipewa na baba yake. Jina halisi la Hulk ni Givanildo Vieira de Souza.

Fred

Jina halisi la Fred ni Helbert Frederico Carreiro da Silva.

Pele

Akiwa na kikosi Brazil alitwaa nacho mara tatu ubingwa wa dunia. Jina halisi la Pele ni Edson Arantes do Nascimento.

Zico

Zico ambaye amecheza Fainali za Kombe la Dunia za 1978, 1982 na 1986, jina lake halisi ni Arthur Antunes Coimbra.

Garrincha

Garrincha akiwa na kikosi cha Brazil alitwaa ubingwa wa dunia katika fainali za 1958 na 1962. Jina lake halisi ni Manuel Francisco dos Santos.
 
:A S-confused1:

kweli kabisa; ila bado tunataka kujua jina halisi la mwanzisha mada hii kibo10 ni lipi?
 
Ronaldo
Ronaldo Luis Nazário de Lima

Pelé
Edson Arantes do Nascimento

Jairzinho
Jair Ventura Filho

Vavá
Edvaldo Izidio Neto

Rivaldo
Vitor Borba Ferreira

Careca
Antônio de Oliveira Filho

Bebeto
José Roberto Gama de Oliveira

Garrincha
Manoel Francisco dos Santos

Zico
Arthur Antunes Coimbra

Sócrates
Sócrates Brasileiro Sampaio de Souza Vieira de Oliveira

Didi
Valdir Pereira

Tostão
Eduardo Gonçalves de Andrade

Müller
Luiz Antônio da Costa

Ronaldinho Gaúcho
Ronaldo de Assis Moreira

Branco
Claudio Ibrahim Vaz Leal

Fred
Frederico Chaves Guedes

Juninho Pernambucano
Antônio Augusto Ribeiro Reis Júnior

Kaká
Ricardo Izecson dos Santos Leite

Cafu
Marcos Evangelista de Moraes
 
Na mm jina langu halisi sijui naitwaje!
 
Pamoja na hayo majina sidhani kama watatwaa ubingwa wa dunia.
 
Back
Top Bottom