Penguin-1 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 406 Reaction score 65 Feb 21, 2013 #1 Watu walioomba kazi e-governance wameanza kuitwa , cha kushangaza simu zinasema tuna kukumbusha kuja kwenye usaili tarehe 2. wanadai majina yapo kwenye tovuti zao( hizi za ajira) me sijayaona bado ,aliyeyaona tafadhali..
Watu walioomba kazi e-governance wameanza kuitwa , cha kushangaza simu zinasema tuna kukumbusha kuja kwenye usaili tarehe 2. wanadai majina yapo kwenye tovuti zao( hizi za ajira) me sijayaona bado ,aliyeyaona tafadhali..
Penguin-1 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 406 Reaction score 65 Feb 21, 2013 Thread starter #2 Ok Wameyapost tayari jioni hii PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS