awamu ya pili yatatoka mwezi wanne kuanzia tar 30 hadi watani tar 10 baada ya riport za hawa walio ajiriwa sasa kuifikia tamisemi , hawawezi wakatoa mwezi huu wakat bado wanaendelea kuriport,,baada ya tar 15 mwezi huu halmashauri zote zinatakiwa zitume orodha za walimu walio riport na kubaki vituon ili kupata idadi ya ambao hawajariport ili wale ambao hawakupangwa waka fix nafasi hizo. Hivyo muwe na subira.