M MAPARA ZNZ JF-Expert Member Joined Jul 1, 2016 Posts 272 Reaction score 79 Oct 19, 2017 #101 Kwani lazima uandike na wewe si uwe kimya tu kama sie jitu zima ovyo
P Power Mabula Member Joined Nov 19, 2016 Posts 58 Reaction score 25 Oct 19, 2017 #102 Mbona huongelei 50 yrs ya ubunge chini ya ssm?.au zilikuepo hzo huduma za jamii baada ya upinzani kuchukua jimbo zikatoweka?.poor you...
Mbona huongelei 50 yrs ya ubunge chini ya ssm?.au zilikuepo hzo huduma za jamii baada ya upinzani kuchukua jimbo zikatoweka?.poor you...
E Eja One JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 1,141 Reaction score 471 Oct 19, 2017 #103 pachachiza said: Km lipo chini kiuchumi ni wakati wa kuilalamikia ccm hapo zaidi ya miaka 50 lkn jimbo bado uchumi ovyo fungua akili zako uone tatizo lipo wp! Wao wanakusanya kodi maendeleo hakuna unaanza kumlaumu mbunge lini umempa kodi yako hakuletee maendeleo? Click to expand... Sasa maendeleo yakienda huko jimboni kwake Lisu atapata wapi hoja za kuwadanganyia wananchi..Ni lazma akwamishe tuu
pachachiza said: Km lipo chini kiuchumi ni wakati wa kuilalamikia ccm hapo zaidi ya miaka 50 lkn jimbo bado uchumi ovyo fungua akili zako uone tatizo lipo wp! Wao wanakusanya kodi maendeleo hakuna unaanza kumlaumu mbunge lini umempa kodi yako hakuletee maendeleo? Click to expand... Sasa maendeleo yakienda huko jimboni kwake Lisu atapata wapi hoja za kuwadanganyia wananchi..Ni lazma akwamishe tuu