Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Kwa hiyo majimbo mengine yanayoendelea yako chini ya nani?Km lipo chini kiuchumi ni wakati wa kuilalamikia ccm hapo zaidi ya miaka 50 lkn jimbo bado uchumi ovyo fungua akili zako uone tatizo lipo wp! Wao wanakusanya kodi maendeleo hakuna unaanza kumlaumu mbunge lini umempa kodi yako hakuletee maendeleo?
Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
walokutuma kuwa wamekosea njia.wanasingida mashariki tunajitambua .ikitaka kutuelewa vzr nenda sasa HV ueleze huu ujinga wako singida mashariki uone kitakachotokea.Wadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
Kweli wewe yaani baada ya miaka 55 ya uhuru bado kuna sehemu ya nchi haina huduma kama hizo,ina maanisha serikali iliyopo madarakani haiwajibiki kwa wananchi wake ambao wanalipa kodi kwa maendeleoWadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
Naamini albadili imeanza kufanya kazi yake sasa maadui wa Lissu mmeanza kujitokezaWadau habarini.
Miongoni mwa waliofanya makosa ya Kidemokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 ni wapiga kura wa Jimbo ya Singida Mashariki. Ukweli Jimbo hili hadi leo bado lipo chini sana Kiuchumi ukilinganisha na Majimbo mengine.Jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kadha zikiwemo ukosefu wa huduma muhimu za Jamii. Changamoto hizi kiukweli zimeendelea kuwepo pamoja na ahadi nyingi walizopewa wakazi hao kwa nyakati mbalimbali.
Wakati umefika sasa kwa wakazi hao kuamka mapema kwa kujiandaa ili muda muafaka utakapofika mfanye maamuzi sahihi ya kidemokrasia na kufuta makosa mliyofanya hapo awali. Mnaweza tu kuondokana na hali halisi mliyonayo kwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia ubora wa chaguo lenu badala ya kuchagua kiushabiki.
Msikate tamaa ila msifanye makosa tena
Aksanteni.
Taja jimbo moja lililo endelea Tanzania.Kwa hiyo majimbo mengine yanayoendelea yako chini ya nani?
Na jimbo kuu la jamuhuri ya muunganoWadau habarini.

Wewe ulishashuhudia jimbo la Lusinde wewe? Unalijua jimbo la Kishapu? Unalifahamu jimbo la Kongwa? hebu tuwe fair aiseee!!Wadau habarini.