Jatropha JF-Expert Member Apr 9, 2009 1,151 199 Nov 2, 2010 #2 vitendo said: Waheshimiwa wanaharakati naomba tuweka majimbo yaliyo chakachuliwa tu hapa. Me naaanza na 1.Shinyanga Mjini. 2. Kibaha Mjini 3 4. 5. . . Click to expand... Kibaha Mjini
vitendo said: Waheshimiwa wanaharakati naomba tuweka majimbo yaliyo chakachuliwa tu hapa. Me naaanza na 1.Shinyanga Mjini. 2. Kibaha Mjini 3 4. 5. . . Click to expand... Kibaha Mjini
inols JF-Expert Member Sep 22, 2010 283 95 Nov 2, 2010 #7 Hawa wahusika ni wakupiga makwezi hadi huo mgando ulipo kichwani uwatoke, kwani nani kasema CCM ni chama cha milele, na ni lazima watawale?
Hawa wahusika ni wakupiga makwezi hadi huo mgando ulipo kichwani uwatoke, kwani nani kasema CCM ni chama cha milele, na ni lazima watawale?
M MpitaNjia Member Nov 6, 2007 47 1 Nov 2, 2010 #8 1. Shinyanga Mjini 2. Tarime 3. Songea Mjini 4. Kigoma Mjini 5. Kibaha Mjini 6. Bukoba Mjini