Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,569
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imefanya mabadiliko ya majimbo ya uchaguzi.
Katika mabadiliko hayo Wilaya ya MKOANI mkoa wa Kaskazini Pemba imejikuta imebaki na majimbo (4) badala ya (5) ya awali.
Awali kulikua na majimbo ya MKOANI, KIWANI, CHAMBANI, MTAMBILE na MKANYAGENI (Jimbo la Mnyaa).
Baada ya mabadiliko hayo jimbo la MKANYAGENI limefutwa na kubakia (4). Kazi kwake Mhe. Mnyaa.