Majimbo haya UKAWA watashinda mapemaa

Arusha mjini wamestopisha!!!!Simanjiro mapeema/longido ;:ila bwana nimepita hapa mto ambu nikakuta kuna mikakati madhubuti inafanywa ili ccm washinde waanze kusema lowassa amekataliwa hadi kwake ukawa mpo hapoooooooo!!!!!!!!!!
 

sengerema
magu
ilemela
nyamagana
arumeru
busanda
vunjo
 
Moshi mjini,shika adabu zako.kura kwa Davis mosha.hatuchagui wataita wa kenya
 
duh ina maana we hujui hata maana ya kuahirisha. kwani wakihairisha uchaguzi ina maana hilo jimbo hawatachagua kabisa. nenda kasome. hata wakifanya uchaguzi mwaka 2020 umeambiwa ukawa watashinda mapema. mabadiliko. piga kura linda kura
 
 

Ahsanteeeeee..yashafika kama 60 hivi mbona..
 
Moshi vijijini
Rombo
Hai
Nanyumbu
Mbeya mjini
Singida kaskazini
Babati mjini
 
Rungwe mashariki na
Rungwe magharibi
kote huko ccm hoi kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…