mwanza mjini ndio wapi?
Acha umama kama haupajui kaa kimyaa.
Kuanzia saa 11 jioni tayari yatakuwa yameshatangazwa kuwa UKAWA ndio wameshinda:
1. Ubungo
2. Kibamba
3. Kawe
4. Segerea
5. Karatu
6. Arusha Mjini
7. Mwanza mjini
8. Singida Mashariki
9. Hai
10. Moshi Mjini
11. Iringa Mjini
12. Mbeya Mjini
13. Ukonga
14. Mikumi
Ongezea unayoyafahamu...
Watu mnajifanya mnajua siasa kumbe viazi tu!! FYI Arusha mjini uchaguzi umeahirishwa na hakuna Jimbo la mwanza mjini